Kubwa Kuliko...!

Ndo maana hata JF simuoni, sijui ndo kaanza holiday? Niletee wawili nikutunzie kaka yangu,umenitoa mbali,nirudishe wema kidogo!
Leo utanikuta kwenye skype yako....ikifika mida..Lizzy amesema atakuwa anaripoti kama vile Al Jazeera
 
Wewe. . .muone vile. Kisa cha kulipua cover langu?
Hata hivyo si utakuwa uko maeneo ya Libya ni vigumu mno kukugusa maana nasikia utakuwa na vibomu viwili kwa ajili ya kujhami na waasi..lol
 
Leo utanikuta kwenye skype yako....ikifika mida..Lizzy amesema atakuwa anaripoti kama vile Al Jazeera

He he he he....can't wait..am excited already....Lizzy wangu muache tu ana vipaji vingi sana,hicho cha u-reporter ni kipya!
 
Sijaona. . . Nionyeshe!!

Siku hizi kamusi za kwenye mtandao zina miongozo ya matamshi. Nakushauri uingie Merriam-Webster au Oxford Advanced Learner's Dictionary usikie linavyotamkwa!!

Sasa ingia usikilize halafu uje uniambie kama kuna "a" (hii yetu ya Kiswahili na siyo "ei") kwenye hilo neno.

Kwa kukusaidia zaidi, phonetic symbols za hilo neno ni hizi hapa "bɜːrθdeɪ"

Sasa kama umesoma Isimu utajua hilo alama zinatamkwaje. Lakini kama hujasoma huwezi kujua
 
Hahaha. . .
We jifanye mjanja tu, haki ya nani ntakuzuia kuingia!!

Dearest, sijaelewa,nawe utakuwa mlinzi wa mlangoni pale British Council? manake mi nimeomba iyo kazi wamenipa na mkaka mmoja!
 
Siku hizi kamusi za kwenye mtandao zina miongozo ya matamshi. Nakushauri uingie Merriam-Webster au Oxford Advanced Learner's Dictionary usikie linavyotamkwa!!

Sasa ingia usikilize halafu uje uniambie kama kuna "a" (hii yetu ya Kiswahili na siyo "ei") kwenye hilo neno.

Kwa kukusaidia zaidi, phonetic symbols za hilo neno ni hizi hapa "bɜːrθdeɪ"

Sasa kama umesoma Isimu utajua hilo alama zinatamkwaje. Lakini kama hujasoma huwezi kujua

We nawe. . .
Haya ahsante kwa somo!!
 
Dearest, sijaelewa,nawe utakuwa mlinzi wa mlangoni pale British Council? manake mi nimeomba iyo kazi wamenipa na mkaka mmoja!
Ndivyo nnavyojua dearest. . . na mimi niliambiwa ntakua na mkaka mmoja pia. Usikute. . . . . . . . dah ngoja niulize vizuri.
 
Wabongo tuna kazi kwenye kutamka na kuyaandika haya maneno...

1. SIDE MIRRORS = Sight Mirrors, Site Mirror
2. HELMET = Element, Elementi, Elmet
3. FIRE EXTINGUISHER = Fire Tigisher
4. RAV 4 = Rava 4
5. AC = IC
6. MAYFAIR = MAIFEA
7. BLACKBERRY = Blackaberry, Blackbel
8. VITZ = Vitis
9. Redds = Redis
10. AUTO (should be pronounced Oto) lakini watu wanaitamka kama inavyoandikwa. Na hili kosa hufanywa na zaidi ya 95% ya wabongo.
 
Back
Top Bottom