Kubwa Kuliko...!

Speaking of that, what about:

Chama cha CCM
Chama cha CHADEMA

Hili nalo ni kubwa kuliko. Tena hapa JF limekuwa kama kawaida.

Vile vile kuandika ccm au chadema...nalo ni kubwa kuliko; kwani kwa taratibu za kiuandishi, maneno ya vifupisho upaswa kuandikwa kwa herufi kubwa, tena kila kiwakilishi cha neno kinapaswa kuwa na nukta kabla ya kiwakilishi kingine kuandikwa. Mfano C.C.M. na CHA.DE.MA. Hiyo nukta inamaanisha hilo neno limefupishwa.

Hivyo ndivyo uandishi wa maneno ya aina hiyo upaswa kuwa. Ni kama Bachelor of Science inavyoandikwa kwa kifupi kama B. Sc.
 
Wabongo tuna kazi kwenye kutamka na kuyaandika haya maneno...

1. SIDE MIRRORS = Sight Mirrors, Site Mirror
2. HELMET = Element, Elementi, Elmet
3. FIRE EXTINGUISHER = Fire Tigisher
4. RAV 4 = Rava 4
5. AC = IC
6. MAYFAIR = MAIFEA
7. BLACKBERRY = Blackaberry, Blackbel
8. VITZ = Vitis
9. Redds = Redis
filling station/fueling station=shell
 
Back
Top Bottom