Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Mtu gani Konnie? FUNGUKA!!@Lizzy na SS
mbona wasukuma wanamfuata huyu mtu hivi???
SS wamejanjaruka siku hizi na wao wanataka mahari kubwa.
Mtu gani Konnie? FUNGUKA!!@Lizzy na SS
mbona wasukuma wanamfuata huyu mtu hivi???
SS wamejanjaruka siku hizi na wao wanataka mahari kubwa.
Huyo SS, mnafuatana kama kumbi kumbi
Huyo SS, mnafuatana kama kumbi kumbi
hivi kutoka sare kwenye mpira ni - - dron...Halftime = offtime
Kwenye CRDB hamna neno Bank already?
Hivi kumbe nae ni Msukuma?
Alafu ndio kusema hinitaki huko kwenu ama? Sema niwakimbie.
zamani kabla haijauzwa hiyo B ndio ilikuwa bank lakini sasa hivi wameunganisha imekuwa neno moja tu CRDB bank.
nafurahi kuona wakipigana vikumbo, usikimbie tunataka kuongeza vi griti thinkaz huko.
Halafu huyu smiling saint nitamlamba BAN...lol
@Lizzy na SS
mbona wasukuma wanamfuata huyu mtu hivi???
SS wamejanjaruka siku hizi na wao wanataka mahari kubwa.
Smiling Saint = Simailingi Seintihabari ya asubuhi jamani