Nsiande
JF-Expert Member
- Jul 27, 2009
- 1,649
- 878
Mwingine eti "inshu"badala ya issue yan ina irritate kichizi
Yaani inshu kweli inakera sana, yaani ndio hivyo imekuwa localised mpaka itaingia kwenye msamiati ....sijui kwanini na R na L hizo ni kubwa kuliko ........