Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,076
- 136,502
Immigration - magireshen
HahahahaImmigration - magireshen
hata wafanyakazi wa benki wenyewe wanasema benki ya crdb, au kcb bank tanzania ltdBank ya CRDB, NBC
immigration - magireshen
nachukia hii. . .
Eti mtu anasema kabisa 'embu nidipu'. . .
i hate it much!
Tena utakuta
mtu na akili zake
utasikia mtu anasema, "eee, nimeona umenimisingikolu..."
Wabongo tuna kazi kwenye kutamka na kuyaandika haya maneno...
3. FIRE EXTINGUISHER = Fire Tigisher
Tooth pick... Mtu anaita stiki...
Kuna wale wanaosema Tustiki..Au tooth stick...
Kuna wale wanaosema Tustiki..
Kuna wale wanaosema Tustiki..
Knowing - Knowingi
hata wafanyakazi wa benki wenyewe wanasema benki ya crdb, au kcb bank tanzania ltd
ukisikia hivyo asilimia kubwa huyo ni muhaya...ng zinawasumbua sana
The name's been changed to CRDB Bank, so wakisema benki ya CRDB ni kiswahili chake tu......Wako sahihi kabisa,