Kubwa Kuliko...!

Kubwa Kuliko...!

Rubberband-balabendi
hii ni lazima wote mshawahi kusema.
Hahahaha!!! Hii utotoni tuliisema sana, ila hadi sasa kuna watu wazima bado hawawezi kusema rubber-band wanasema balabendi..lol
 
Elfu moja - Buku
Shilingi mia - Jiti
Kuzimua - Kutoa Lock
Kulala - Kuangusha
Huna hela - Arosto
Kuomba hela - Kubom/Kupinga mzinga
 
Khaaaa...nilifikiri umeniletea lunch..yaani wewe dada yangu kwa kunitosa tu haujambo..lol

Umenitupa hata sitaki kusema,tena leo nimepika makande nilitaka kupitisha hotpot huko ila ulivyonisusa imebidi niwe mdogo ka piriton!
 
Umenitupa hata sitaki kusema,tena leo nimepika makande nilitaka kupitisha hotpot huko ila ulivyonisusa imebidi niwe mdogo ka piriton!
Majukumu dada si unajua wifi yako kajifungua mtoto wa 12 kwahiyo ndani hakukaliki kabisa...lol
 
Back
Top Bottom