Tonny Kapola Gas Station
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 530
- 1,606
Hakuna uchawi wala nini. Kamari ni uraibu sawa tu na punyeto, kokeini na sigara; na unaathiri mfumo wa dopamine sawa tu na uraibu mwingine. Ndiyo maana ukizama huko kuchomoka ni shughuli pevu.Bila shaka waendesha kamari hutumia uchawi/majini kupumbaza wateja wao (wakamaria).
Unawatukana wanaobeti kumbe nawe si ajabu umezama katika uraibu wa punyeto, sigara, ponografia, pombe, energy drink, soda, ngono n.k. Nyote hamtakiwi kuchekana maana wote ni majiganyanza. Nyote mnahitaji msaada wa kisaikolojia na hata kitabibu!