Kubet ni upuuz?

Kubet ni upuuz?

Kamari ni starehe ya wastaafu
Hivi nikuulize mtaalam, lets say 1.2, ukiweka 10,000 unapata faida 10,000+(10,000×0.2) kwanini ukikosa upoteze 10,000? Kwanini fomula ile ile ya kupata haitumiki kwenye kukosa? 10,000-(10,000×0.2)?
 
ndoh maana Tanzania haend mbele maana nguvu kaz ipo kweny kamar wakisubir miujiza ya ela
 
Back
Top Bottom