Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,608
- 15,691
sijawahi kurudia kufanya huo ufaraHapo ulizingua bora hata ungenunua mitetea mitatu ya ten
sijawahi kurudia kufanya huo ufaraHapo ulizingua bora hata ungenunua mitetea mitatu ya ten
MAANITHI WA AKILI MNASHIDA SANA😁 Ukiona tunayo hela ya kubetia wewe tambua tayari tulisha wekeza kwenye hayo uliyo yataja ndiyo tunapata fedha ambayo baadhi tunatumia kucheza kamariHiv mwanaume kamili unawezaje ekeza ela yako kwenye kamari kama sio upumbavu.
Fuga kuku,mbuzi,nguruwe,ngombe ama mfany biashara.maana mkamaria n mtu mpumbavu mshenz asiyejieelewa.
Kwani wanaolipa viingilio vya sh30000 kuangalia mechi za simba na yanga au kununua jezi , wakitumia hiyo kanuni yako wao wanakuwa wameingiza faida kiasi gani ?si bora hata anaye beti yupo kwenye kupigania faida hata kama bado anapata hasarakama ujawahi kubeti usijaribu, pia kwa anayebeti fanya makadirio mwenyewe jumla ya pesa (stake) ulizoweka mpaka sasa alaf linganisha na pesa ulizoingiza.
Kama pesa unazoweka ni kubwa zaidi ya kiasi unachokipata acha kubeti, kukimbia peku kabisa usiangalie nyuma 🤓 !
Nakubaliana na wewe. Chukua huu mkeka kwanza ishi nao🤳Kwani wanaolipa viingilio vya sh30000 kuangalia mechi za simba na yanga au kununua jezi , wakitumia hiyo kanuni yako wao wanakuwa wameingiza faida kiasi gani ?si bora hata anaye beti yupo kwenye kupigania faida hata kama bado anapata hasara