Serikali ya CCM inakusanya pesa yote,halafu inaigawa kwa wabunge Kwa upendeleo mkubwa,CCM haikushinda Dar es salaam,ndiyo ilpokuja na mbinu ya kumchagua mkuu wa mkoa,kuja kuvurugq mikakati ya wapinzani,katika kuliendesha jiji,badili ya wapinzani ambao walichaguliwa na wanaungwa mkono na wananchi,ndiyo walipomwingiza kuharibu na kupropaganda,katika sehemu ambayo wamekosa haki ya kisheria,kuingilia mambo ya ndani ya majimbo hayo ya wapinzani,na badili yake wanakiuka sheria kwa kuvitumia vyombo vya usalama kukusanya mapato,inaonesha bado hawajaikubali demokrasia,ni watu wa kupropaganda,CCM mkoa mbali kutoka katka ukweli yakinifu.wacheni humu kuusaidia utawala huu,uliokosa kufahamu dhamana zake,na badili take hata kukiuka na kuendesha ubabaishaji na ukandamizaji ,mfano mdogo tu,mlivyowakusudia wale wapinzani katika vyeti na kukiuka kwa uwazi kabisa katika upendeleo wa vyeti,ati ukiwa mkuu wa wilaya,waziri nk,Iowa halikupati,hii Ni sawa sawa na utawala wa kibaguzi wa afrika kusini,walipoweka sheria za kibaguzi,za kwamba watu fulani walikuwa na haki fulani na wengine hawana,huku ikiwa raia wote wa nchi moja,huku sheria zikiwahusu fulani fulani,na wengine hazikuwahusu,ubaguzi huu wa kimatabaka katika vyeo unawaruhusu watu fulani kukiuka sheria na makosa ya wazi waliyoyafanya,vyovyote mtakavyofanya CCM inakwenda zake Kama alivyoatabiri nape 2020.Hakukuwa na haja ya yeye kudanganya wana ubungo, kazi hawezi na alitaka ubunge sababu ya tumbo lake.