Kuazima gari ni ustaarabu?

Loh

Ataomba kuazima na mke huyo KISA KUNA PANYA NYUMBANIMWAKE MKIMBIE
Ushauri TU
 
Walewalee!!!
 
Kwa maoni yangu na ya wengi hapa inawezekana kumuazima mtu gari ila.kwa vigezo na masharti maalum kama ukaribu wenu..madhumuni....umuhimu wa tukio lenyewe..uendeshaji..ustaarabu wa muazimaji.
 
hehehe, nitakupa contacts za rental car services, very reasonable rates.

aisee nilishakuwa na rafiki (RIP buddy), ananunua gari kali kweli, miezi miwili mingi, mzinga written off. Happened 3 times na magari 3 tafauti. Nilikuwa namshangaa akianza kuazima gari. Yaani moyoni nasema una akili sawasawa wewe? Alikuwa anatoka mswaki kila siku hehehe
Niazime gari wiki ijayo nina harusi...
 

lakini ukae ukijuwa zamani tukiuza magari ilikuwa tunasingizia yapo gereji.

atleast siku hizi tukiuza magari unasema nimeagiza lingine hili nimeamuwa nikiuze kupata pesa za kugomboa jipya.

ila siku hizi watoto wa mjini tunacheza na biashara ya kuvunja au kimombo exchange deal.
 
Badala yake anunue Toyo mbili na San lg moja atese town huku akila vichwa.

swadakta, au kama vipi Suzuki carry ndio size yake atakuwa na usafiri atabeba cargo na jioni route ya gongo la mboto kichwa 500 mpaka buku.
 
Mkopo wa gari hata Sijaumaliza,halafu nikuazime ukatongozee wazaramo!!akyanani haiwezekani nakataa kabisa

Hata mimi sijamalizia bado....ufunguo wa VITZ nalala nao chini mto.....kwa kweli sikuazimi.
 
huyo ni miongoni mwa wale wana olazimisha maisha wakati maisha yalishawakataa , na kama ataazima gari mchunguze kwa nini yeye hana utajua ni majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…