Kuanzia sasa sitatazama ITV

huyu jamaa haeleweki,mbona hata Tv nyingine hazionyeshi hujalalamika.

Huyu jamaa hajui kuwa TV stations nyingi sasa hivi hazitangazi mambo ya kijinga.
 

Yaani TV ya maana kama ITV iache kutangaza tukio la kihistoria la kutawazwa Mwinyikambi shujaa Dr Slaa wakatangaze mkutano wa wasaliti vibaraka wa CCM?

Come on!!!!!
 

Wewe ndiye unataka kuminya uhuru wa habari yaani unawalazimisha ITV warushe mikutano yenu? Kwa mujibu wa maelezo yako itakuwa TV zingine za ccm kama tbc na star TV zilirusha nadhani hiyo inatosha.
 
Yaani TV ya maana kama ITV iache kutangaza tukio la kihistoria la kutawazwa Mwinyikambi shujaa Dr Slaa wakatangaze mkutano wa wasaliti vibaraka wa CCM?

Come on!!!!!

Eti bwana,hawa watu sijui vip! teh teh teh teh.
 
Wawatangaze nyie wabakaji wa demokrasia?hamkumbuki -------- alienda kwa jk kumchongea?
 
act mnashangaza kweli hivi habari kama yale majina ya watanzania walioficha pesa uswisi yaliyotolewa na zzk mfalme wa act mlitegemea yatangazwe na ITV, majina ya madereva tax wa India na vibaka wa huko? Account zimefunguliwa kabla hata ya nyerere kuzaliwa mwaka 1920 kweli ITV watangaze ----- huo? Nyie mmechanganyikiwa mnataka kuchanganya chombo makini cha habari
 
Ninge shangaa sana kama itv wangeonesha maigizo ya act na zitto !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wakitangaza mikutano ya CCM inatosha kwasababu ni baba yenu nyie watoto

Mkuu Umemaliza kabisa hawa wasaliti wajanjawajanja wanataka double share. Watia nia wa baba yao wanatangazwa kila siku na wao wanataka. Wakati kiongozi mkuu kila siku anawasifia hao Watia nia
 
Jadiri hoja unataka namimi nitafute hurama ya watanzania? Mbona ulichofanya wewe hujaonyesha!!!
 
Wachagga ni kuliko wadosi. Ulikuwa haujuwi hilo?

Ushamuona mchagga ananunuwa maji ya Uhai?
Idadi ya Waislam wanaoshinda na njaa kutwa nzima huku wakijiaminisha kua wamefunga ni wengi Sana, hawa ni wale ambao Jehanam wao watakua ndio KUNI wa hilo tanuri.
 
Kwani uliwalipa hela watangaze mkutano wenu, kama una shida na hao ACT wako ungeenda mwembe yanga

Halafu pale Zitto aligawa makaratasi,kama huyu jamaa angetaka habari angeenda tu mwembeyanga kuchukua yale makaratasi.
 
Itv wameshaonyesha kwamba wana mlengo gani hawa ni chadema damu usitarajie kupata habari za vyama vingine kwa uzito sawa na chadema
ITV KAMA TANZANIA DAIMA.
 

mimi hapo huwa naangalia " mizengwe " , " miziki ya dansi hasa ile ya kongo " na " tamasha la michezo " tu ila takataka zingine huwaachia.
 
act ndiyo nini wewe? toa uharo wenu hapa!

Mimi nawauliza Bavicha tukitoa habari ya uzinduzi wa chama cha ACT ni habari gani ya ACT ilishawai kurushwa ITV ? ITV siku hizi hawatende haki kabisa kwenye kutoa habari kabisa hasa hawa watendei haki ACT....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…