Expert911
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 695
- 1,239
Inawezekana katuma nauli ikaliwa akaona hasira azimalize kwa kuandika uziHarafu asindikize na Mawasiliano ya hako kabinti.
Inawezekana katuma nauli ikaliwa akaona hasira azimalize kwa kuandika uziHarafu asindikize na Mawasiliano ya hako kabinti.
Mi huwa nataka hand to hand, sitaki mambo ya kuzinguliwa papuchi zipo nyingi sanaBujibuji Simba Nyanaume leo ameshusha uzi unao husu kukamatika kwa Mtoto (sijui mtoto anasubiri kiinua mgongo cha mnyakyusa ili atumie) tena muda huu nimetoka kwa Kasie nae yupo kwenye penzi Moto Moto.
Nashangaa Zero IQ anakwama wapi au hadi hadi kwenye mapenzi anatumia kiwango chake cha IQ.
Aiseee sikataki tenaKarikuwa kwa Bujibuji Simba Nyanaume kanampa penzi la kikyaya
Kweli piga chini haoMi huwa nataka hand to hand, sitaki mambo ya kuzinguliwa papuchi zipo nyingi sana
Ndiondio..Au sio
Aiseee.....
Hapo ukute ulikula viagra[emoji1787][emoji1787]Kaniuzi nilimuandalia show ya kibabe alafu kayeyuka
Kasie twende Mboka ManyemaBujibuji Simba Nyanaume leo ameshusha uzi unao husu kukamatika kwa Mtoto (sijui mtoto anasubiri kiinua mgongo cha mnyakyusa ili atumie) tena muda huu nimetoka kwa Kasie nae yupo kwenye penzi Moto Moto.
Nashangaa Zero IQ anakwama wapi au hadi hadi kwenye mapenzi anatumia kiwango chake cha IQ.