Kuanguka kwa CCM - Unabii Utatimia!

Kuanguka kwa CCM - Unabii Utatimia!

who cares if CCM dies!!! the sooner they die the better, cause they are nothing but a bunch of thieves...
 
Haki ya Mungu umenigusa, ingekuwa kanisani ningesema nimekata shauri.
Kwa hiyo mimi ntahakikisha nimegombea ili kuonesha nia ya kukataa dhuruma ya miaka 40 ya utawala usio na tija.
 
Natamani tuongozwe na serikali isiyo ya CCM. Hata hao wanaohamia kwenye vyama vya upinzani kutoka CCM huwa sifurahishwi na maamuzi yao. Natamani wabaki CCM ili chama kikifa na wao wafe kisiasa moja kwa moja.

Lakini nakosa jibu, sioni hata dalili za CCM ko Collapse. Kila nikitazama alama za nyakati naona inazidi kutamalaki. Mfano ni response ya wanajamii kujitokeza kumdhamini Muungwana. Nakata tamaa kabisa.

Anayeweza kunifariji aseme, ipo dalili ya kukolapsi kwa serikali dhalili ya Chama Cha mAULAJI?
 
Kuanguka ipo siku itaanguka tu.....hakuna kikosacho mwisho........coz the gap btn the have n dnt have inazikua kubwa n it will get to a point wengi tutakata tamaa na ya maisha na kuona kama noma na iwe noma....

Mi nakuunga mkono MKJJ kwa kuwa u muwazi na uliechoshwa na ufisadi huu uliopo hapa Bongo.........Just imagine issue iliyo wazi kama ya Rada na wahusika wanapeta tu kitaa.... Ushahidi gani wanataka zaidi ya huu ambao umeshatolewa????????????

It painz.............................
 
Niliwahi kupata article iliyo andikwa na mwanakijiji ikitabili kuanguka kwa ccm, yapata miaka mitatatu iliyo pita. Niliipata kwenye forum hii nikai-print. Katika kupekua nondo zangu, nimeiona na kuisoma kama vile aliandika jana!

Big up mwanakijiji, unaona mbali. Naandika hapa kuomba Mods wairudishe isomwe upya, inatisha, imetoa sura na mwelekeo mpya wa nchi tunayoitegemea baada ya 31/10/2010.
 
Yes Mwanakijiji ni miongoni mwa watanzania wachache wanaochukizwa na utawala mbovu uliopo na ambao wanafanya kitu kupata suluhisho kwa kuandika makala ambazo hazimpendelei mtu zikiwa zimesheni ukweli mtupu.
 
:glasses-nerdy: tutawaangila vizuri kwa viona mbali wasiibe kure.

Naam yu aja mkombozi wa nchi hii.
 
:glasses-nerdy: tutawaangila vizuri kwa viona mbali wasiibe kure.

Naam yu aja mkombozi wa nchi hii.

Safari hii subiri gogo kuanguka pwaaaaa!. Mi kwenye maeneo yangu nilikuwa mjumbe wa tawi la ccm, wote nimewabadili sasa hizo kura atapewa Chadema. Naomba basi mjitume ku- convice watu.
 
nipo nafanya mazoezi ya kuinua vitu vizito hadi 30.10.2010 saa sita usiku tayari kwa kwenda kulinda kura zetu na hawa mafisadi.
 
Utabiri wa Mwanakijiji hautatimi kama wewe, mimi na yule hatutapiga kura ya YES kwa Mh. Dr. SLAA.

I cant wait. am ready for it, Yes I said, I wanna see the changes. Kura yako ina umuhimu katika mabadiliko ya kweli katika Tanzania yetu. Do it~!
 
Hata usipotimia 2010, 2015 utatimia tu kwa sababu kuna limits za uonevu, ubabaishaji! Katika utawala, misingi ya utu inapokiukwa destiny inakuwa ndio mwamuzi. At the end of the day inaamua in favour of the oppressed.
 
Safari hii subiri gogo kuanguka pwaaaaa!. Mi kwenye maeneo yangu nilikuwa mjumbe wa tawi la ccm, wote nimewabadili sasa hizo kura atapewa Chadema. Naomba basi mjitume ku- convice watu.

Na ni Mwongozo wa Kanisa uliokubalisha msimamo wako. Bisha hilo. :confused2:
 
If wishes were horses, everybody could ride!

Teh teh teh :becky: :smile-big: :becky: :smile-big: :becky: :smile-big: :becky: :smile-big:. Wendawazimu wamepewa keyboard. :becky: :smile-big: :becky: :smile-big: :becky: :smile-big: :becky: :smile-big:.
 
Niliwahi kupata article iliyo andikwa na mwanakijiji ikitabili kuanguka kwa ccm, yapata miaka mitatatu iliyo pita. Niliipata kwenye forum hii nikai-print. Katika kupekua nondo zangu, nimeiona na kuisoma kama vile aliandika jana!

Big up mwanakijiji, unaona mbali. Naandika hapa kuomba Mods wairudishe isomwe upya, inatisha, imetoa sura na mwelekeo mpya wa nchi tunayoitegemea baada ya 31/10/2010.
Nyange, huyu jamaa Mzee Mwanakijiji, wee acha tuu!, akikusanya makala zake zote na michango yake ya JF na ya kule Mwanakijiji.com, amini usiamini anajaza maktaba ya kijiji. Akizibind atatoa vitabu 100 vyenye nondo za kufa mtu!.
 
Utabiri wa Mwanakijiji hautatimi kama wewe, mimi na yule hatutapiga kura ya YES kwa Mh. Dr. SLAA.

I cant wait. am ready for it, Yes I said, I wanna see the changes. Kura yako ina umuhimu katika mabadiliko ya kweli katika Tanzania yetu. Do it~!

Kumbe utabiri haujatimia na badala yake tunahimizana kwenda kuukamilisha huo utabiri. Kuna ujinga halafu kuna uzembe wa kufikiria. Sasa hii sijui ni kitu gani. :becky:
 
Nyange, huyu jamaa Mzee Mwanakijiji, wee acha tuu!, akikusanya makala zake zote na michango yake ya JF na ya kule Mwanakijiji.com, amini usiamini anajaza maktaba ya kijiji. Akizibind atatoa vitabu 100 vyenye nondo za kufa mtu!.

Tukumbushane kidogo, huyo mwanakijiji alitueleza nini kuhusu CCJ? :becky:
 
Moja ya hazina kubwa Tz...
Amini utabiri utatimia..
 
Back
Top Bottom