Chamkoroma
Senior Member
- Sep 6, 2010
- 186
- 11
MKJJ mwana wa mapinduzi ya kifisadi Mungu akubariki sana.
Nimeshangaa sana kukuta huii thread kwani nimeota ndoto ambayo majibu yake ni hii thread, nimeota kuwa Slaa ameshinda uchaguzi wa Rais, yalipotangazwa matokeo nikasikia matarumbeta na kelele nyingi watu wakishangilia kila sehemu, nilifurahi sana, nilipoamka nikamwambia mke wangu akasema ww unasumbuliwa na siasa, lkn, Mungu wa kweli huongea sn na watu juu yayale yajayo kwa njia nyingi lkn sn ndoto imetumika sana.
Naamini ujumbe huu wa mwana wa kijiji mwana wa mkulima, naamini unaukweli kwani umehusiana kwa aslimia 98 na ndoto niliyoiota usiku wa kuamkia leo,neno la Mungu kunasehemu linasema, mmoja atafukuza watu 1000 wawili watafukuza watu 10,000 kwa maombi ya watu wote chochote chaweza tokea, kufumba nakufumbua Slaa awa Rais wa awamu ya tano naamini miaka 5 itakuwa paradiso ndogo kwa wa tz wenye hali duni ila ni jahanamu kwa mafisadi, HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA.
Makamba atakuwa historia naamini atakuwa informa wa Rais Slaa mara ya kuapiswa kuwa mkuu wa kuongoza watu kwa haki na usawa na hofu ya Mungu itakuwa juu yake.
Ubaarikiwe MKJJ.