By
King'asti
Mimi paw ni wangu peke yangu, na mimi ni wake peke yake.
Naweza kukukubalia wewe kusema ni wako lakini la wewe kuseme yeye ni wako? Mhh mh, Unausemea moyo wake si sawa.
Mwenye ujasiri wa kusema amenishare na paw wangu ajitokeze hapa. Na mwanamke mwenye ujasiri wa kusema keshawahi kumpata paw wangu na aseme sasa!
Huu mchezo wa kitoto sasa, Tunazungumzia maisha yetu ya kawaida tunayoishi kwenye jamii zetu unapoleta habari ya kumtafuta shuhuda humu kwenye mtandao hakika si rahisi kumpata, Vilevile hilo si lengo hasa la Uzi huu.