Mwanawalwa
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 1,014
- 302
wanadamu tunajifariji sana kwenye mahusiano.
Umefahamiana nae akiwa mkubwa tu mkapendana,
mkaaminiana basi unabwaga manyanga na kuona kuwa ni muaminifu na hawezi kukusaliti.
Labda kama upo kwenye uhusiano na malaika pekee, vinginevyo unajidanganya;
ni upuuzi kuamini kuwa uko pekeyako kwa mwenzako
tafakari
mfyuuuuuuuuuuuuu