Suprise
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 2,696
- 1,063
Umezaliwa nao.
Sitafuti mavi mimi. Natafuta pesa tu.
mkuu sometimes silence is the best answer, y upoteze energy, kuna thread nyingi zinasubiri michango ya kujenga
Umezaliwa nao.
Sitafuti mavi mimi. Natafuta pesa tu.
I co-sign to that!
Maneno ya mkosaji..
Au ndiyo akili ya kuambiwa nini?
Unajua ukiona vifo vingi sana hata thamani ya uhai inapungua.
Na katika mapenzi ukitendwa sana, uaminifu unapungua,kujiamini kunapotea kabisa kila unaemuona unahisi ni yule yule aliekutenda.!
Kunamazingira yanakufanya umuamini mpenzi wako, na pia kunamazingira yanakufanya kujenga wasiwasi, Ila jambo kubwa ni kuamini kama hauna imani hata kama utakuwa unamfungia ndani na asitoke nje kama haujaamua kujenga imani bado utajihisi hauko mwenyewe kama unavyosema.!
haya mapenzi bana ukiyapatiliza mtu unaweza ukawa chizi bora kwenda kigumu tuAaaanh imekugusa eeenh.... mie niamini bhana........
Maneno ya mkosaji..
Au ndiyo akili ya kuambiwa nini?
Unajua ukiona vifo vingi sana hata thamani ya uhai inapungua.
Na katika mapenzi ukitendwa sana, uaminifu unapungua,kujiamini kunapotea kabisa kila unaemuona unahisi ni yule yule aliekutenda.!
Kunamazingira yanakufanya umuamini mpenzi wako, na pia kunamazingira yanakufanya kujenga wasiwasi, Ila jambo kubwa ni kuamini kama hauna imani hata kama utakuwa unamfungia ndani na asitoke nje kama haujaamua kujenga imani bado utajihisi hauko mwenyewe kama unavyosema.!
inferiority complex inakusumbuwa tu, kwa nini umuwazie mwenzako mabaya? aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea.
Maneno ya mkosaji..
Au ndiyo akili ya kuambiwa nini?
Unajua ukiona vifo vingi sana hata thamani ya uhai inapungua.
Na katika mapenzi ukitendwa sana, uaminifu unapungua,kujiamini kunapotea kabisa kila unaemuona unahisi ni yule yule aliekutenda.!
Kunamazingira yanakufanya umuamini mpenzi wako, na pia kunamazingira yanakufanya kujenga wasiwasi, Ila jambo kubwa ni kuamini kama hauna imani hata kama utakuwa unamfungia ndani na asitoke nje kama haujaamua kujenga imani bado utajihisi hauko mwenyewe kama unavyosema.!
Kwani mi Mungu?? mpaka nisiwe hadi mimi???Hadi wewe....of all the people?
Hata ku point out ujinga wa mjinga nako ni kujenga!
Kwenye ndoa mnaita mashahidi maana ni suala la kisheria wala haihusiani na kutokuamini kwako,true love inaexist sana tu sema tu matapeli wamekua wengi ila watu waaminifu pia wako wengi.Hakyanani jipeni moyo tu, hivi mnadhani kwa nini kwenye ndoa mpk muite mashahidi? Mpk kusaini? Na kila mtu anapewa gamba lake?
Ni heri ujue lipo ili likitokea usiumje kuliko ujiaminishe then likupate
Hakyanani jipeni moyo tu, hivi mnadhani kwa nini kwenye ndoa mpk muite mashahidi? Mpk kusaini? Na kila mtu anapewa gamba lake?
Ni heri ujue lipo ili likitokea usiumje kuliko ujiaminishe then likupate
wewe utoto unakusumbuwa bado upo kwenye level ya kuombwa smartphone na hela huna umejichokea kwa nini usije kugeneralise wanawake humu?
wengine hatuko kwenye level hizo hatudeal na wasichana tunadeal na wanawake na wanajuwa nini wanachohitaji kwa mwanaume and we give what they deserve. life taste good pole yako unayempigia mpenzi wako simu anakwambia yuko kwa shangazi kumbe kalikalia boro la kidume ili ampe hela ya fiesta. mimi si wa viwango hivyo young boy.

Ukitaka usitake ila ukweli ndo huo