Kuamini kuwa uko pekeyako kwa mwenzako

Kuamini kuwa uko pekeyako kwa mwenzako

Do not make assumptions, not every situation is similar - Aristotle
Lols!
Can you really hear yourself?? -I doubt it.
You seem to have misunderstood the concept of the idea you have just mentioned.
-**It does positively vouch for my idea ( You got brains bwana!)
Besides,
Suppose, I am the one who can not understand the concept of the mentioned idea.
The heck is Aristotle?
He was only human, Not a Saint.
He could be wrong just the same as you.

Your points are way too shallow for me to buy.
 
Sounds like a totally frustrated fellow.

Kwa sababu kuna watu wanafeli math, haimaanishi hamna wanaofaulu. Do your homework acha kutengeneza mazingira ya kushindwa kabla hata hujaanza

Anyway, pessimists are pessimists and they barely change.... Endelea kuamini hayo unayoyamini.
 
Hivi kijiwe kinachofundisha watu huu mtindo wa kugeneralize-generalize mambo kipo wapi?.Kama kipo sowewhere basi kauli mbinu yake kwa vyovyote vile ni "likikupata wewe, limewapata wote" au "ukipatwa na jambo baya,ili usijione mnyonge,assume kuwa limempata kila mtu". hahahahahaaaaaaa!
Mawazo mgando hayo.
Nani kakuambia yamempata??
 
Sounds like a totally frustrated fellow.
Strike my points with stronger points, Usigeuke kuwa Mtabiri.
Kwa sababu kuna watu wanafeli math, haimaanishi hamna wanaofaulu
Ningekuwa mchoyo ningeachana na wewe,
Ila, nahisi ni wajibu wa muungwana kuelimisha watu wa aina yako.
Hivi ngoja tuasaidiane;Kwani wewe hujui, hujawahi kusikia,hufahamu au huelewi kwamba wapo watu huwa 'wana-Cheat' hadi hata kufikia levo hata ya Chuo na kuplekea hata wengine hadi kupata hizo 'Degrees'??
Nini eti, kuna watu wanafeli math na wengine kufyokofyokofyoko.
Do your homework acha kutengeneza mazingira ya kushindwa kabla hata hujaanza
Sijajua kwanini umeamua kujiwehusha na kujaribu kukitoroka kivuli chako mwenyewe.
Anyway, pessimists are pessimists and they barely change...
Do you really think so?
Listen;If you can not give them (The so, You call 'Pessimists') a good reason or two for them to change
Then, that undoubtedly makes you the fat Pessimist.
Endelea kuamini hayo unayoyamini
🙂.
 
Hata ukimkuta sealed...bado ni ujinga kujifariji upo peke yako....wanawake walio wengi ni dhaifu sana, kutoa papuchi kwao sio ishu kivileee
Umesema kweli lakini hata sisi wanaume tumo ndugu
 
Hata kama uko peka yako sasa, kuna wakati utakuja kumegewa tu au kuna wakati hapo nyuma ulimegewa. Hii kitu haina formula, kwani mtu wako ana tofauti gani na wengine? Jipime wewe kwanza, je haujawahi kujikuta ktk mazingira ya kuchepuka? Uliyashinda? Ila hupaswi kuwazia hilo jambo, ukiwaza litakupa shida. Nenda vyuoni uone wake za watu na waume za watu wanavyotoa msaada! Je, utamzuia mkeo au mumeo kwenda chuo? So, amini uko peke yako, sisi tutakuwa tunaonja mara moja moja tu!
 
Brother you have no string points, ni assumptions tu zinazotokana na experience zako, sio kila mtu ana experience zako. By the way strong points gani hazina back up ya statistics? Give us the stats to back up your strong points, la sivyo hizi ni porojo tu kama porojo nyingine tunazosikia kutoka kwa "mafundi wa mapenzi".

You are entitled to opinions not facts.
 
Hata kama uko peka yako sasa, kuna wakati utakuja kumegewa tu au kuna wakati hapo nyuma ulimegewa. Hii kitu haina formula, kwani mtu wako ana tofauti gani na wengine? Jipime wewe kwanza, je haujawahi kujikuta ktk mazingira ya kuchepuka? Uliyashinda? Ila hupaswi kuwazia hilo jambo, ukiwaza litakupa shida. Nenda vyuoni uone wake za watu na waume za watu wanavyotoa msaada! Je, utamzuia mkeo au mumeo kwenda chuo? So, amini uko peke yako, sisi tutakuwa tunaonja mara moja moja tu!
Umeliweka vizuri ila,
Hapo kwenye mkazo ungewashauri Wajifariji Sio waamini.
Kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wanajifariji.
Hakuna kitu kama hicho.
Nashangaa watu wanapata wapi ujasiri wa kuamini Upuuzi huu.
 
Naona watu wanaosapoti hii mada wanashinda kwa kishindo
 
Brother you have no string points, ni assumptions tu zinazotokana na experience zako,. sio kila mtu ana experience zako
Huna haja ya wewe kuwa Mtabiri,
Hapa ni wewe kuleta hoja zenye mashiko ili kuziporomosha zakwangu,
Nje ya hapo utakuwa unatapatapa,
Elewa hakuna mahala nimesema nazungumza kutokana na uzoefu wangu kama ipo toa vielelezo.
By the way strong points gani hazina back up ya statistics?.Give us the stats to back up your strong points
Usijidharaulishe zaidi;
Hivi, kwani wewe umetoa vielelezo gani kuipa nguvu hoja ya ubishi wako?
Au hiyo ina-apply kwangu tu?
Pili, Unaonaje wewe ukazivunja hizo point zangu kwa point zako makini na badala yake kuacha kulalama?
Lakini pia Kwakuwa unadhani utafiti ni muhimu sana na hilo mimi sikupingi,
Twende kisasa zaidi, Pitia michango ya wadau mmoja baada ya mwingine katika Uzi huuhuu kisha weka hadharani matokeo kama yana ku-favor wewe tujue,
Lakini kama yanakupinga uweke wazi pia tena kwaherufi kubwa.
Angalizo:Mambo mengine huhitaji utafiti wa kuhoji watu kwa peni na makaratasi,
Zinduka ndugu
!
la sivyo hizi ni porojo tu kama porojo nyingine tunazosikia kutoka kwa "mafundi wa mapenzi".
Zako ndio porojo zaidi.

You are entitled to opinions not facts.
Not I, (Plural pronoun 'We')- 'We are' entitled to our opinions as evidenced with strong, sufficient and credible facts as outlined above
 
Naona watu wanaosapoti hii mada wanashinda kwa kishindo
Ishu ni mashiko mkuu,
Hawana pa-kutokea hao wanaobisha.
Ila kuna watu wabishi balaa, Mtu hana cha kujitetea lakini anadai tunakosea.
 
Back
Top Bottom