Ayusema
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 549
- 189
Very true...
Aaaanh imekugusa eeenh.... mie niamini bhana........
Very true...
Wanadamu tunajifariji sana kwenye mahusiano.
Umefahamiana nae akiwa mkubwa tu mkapendana,
Mkaaminiana basi unabwaga manyanga na kuona kuwa ni muaminifu na hawezi kukusaliti.
Labda kama upo kwenye uhusiano na malaika pekee, Vinginevyo unajidanganya;
Ni upuuzi kuamini kuwa uko pekeyako kwa mwenzako
TAFAKARI
Ni kweli kabisa.
Well said, hakuna jiko la peke yako dunia ya leo..
Very true...
Nina haki, uhuru, na uwezo wa kumwita yeyote yule chochote kile
Wako kama Watanzania.
Ni upu.uzi kujaribu kutuaminisha hili.
Maneno ya mkosaji..
Au ndiyo akili ya kuambiwa nini?
Unajua ukiona vifo vingi sana hata thamani ya uhai inapungua.
Na katika mapenzi ukitendwa sana, uaminifu unapungua,kujiamini kunapotea kabisa kila unaemuona unahisi ni yule yule aliekutenda.!
Kunamazingira yanakufanya umuamini mpenzi wako, na pia kunamazingira yanakufanya kujenga wasiwasi, Ila jambo kubwa ni kuamini kama hauna imani hata kama utakuwa unamfungia ndani na asitoke nje kama haujaamua kujenga imani bado utajihisi hauko mwenyewe kama unavyosema.!
Kama umezaliwa navyo viko sehemu ngani ya mwili wako?
Very true...
Imani nilazima iwepo,na imani yangu ndio inayonifanya nijionekuwa sipo peke yangu!
Mmmh, dizain kauzi kanakatisha tamaa kidogo... Anyway kuona ni kuamini, kama sijambamba na skendo yeyote ile, why should I bother. Mi naamini nipo peke yangu.
Sent from my iPhone using JamiiForums app