Je tuko wangapiiii???
Sawaaaa?Kwako mwenyewe sawa, ila na kwa mwenzako huenda hamhesabiki jifikirie.tafakari kisha jidadisi vizuri utakubali tu na si dhambi kufanya hivyo.Nipo peke yangu.Kuishi huku ukilijua tatizo ndio kuishi ukiwa na amani ya akili.Msiojiamini poleni
Stuka waache wazembe wa kufikiri waendelee kujipa presha kukataa tatizo wanaloliona hata kwa macho ya kawaida
tuko sijui ni millioni ngapi huko hata sikumbuki tena majibu ya sensa....