kikubwa ni heshima tu..kama umeamua kuoa au kuolewa basi uwe na heshima kwa mwenzako.usimuonyeshe uchafu wako.....mimi nimeoa na ni mchepukaji.ila mke wangu is my number oneeeeeeeeeeeeeeeeeee
na uvae kondom za 5000 pumbafu zako!!
kikubwa ni heshima tu..kama umeamua kuoa au kuolewa basi uwe na heshima kwa mwenzako.usimuonyeshe uchafu wako.....mimi nimeoa na ni mchepukaji.ila mke wangu is my number oneeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hakyanani jipeni moyo tu, hivi mnadhani kwa nini kwenye ndoa mpk muite mashahidi? Mpk kusaini? Na kila mtu anapewa gamba lake?
Ni heri ujue lipo ili likitokea usiumje kuliko ujiaminishe then likupate
Wanadamu tunajifariji sana kwenye mahusiano.
Umefahamiana nae akiwa mkubwa tu mkapendana,
Mkaaminiana basi unabwaga manyanga na kuona kuwa ni muaminifu na hawezi kukusaliti.
Labda kama upo kwenye uhusiano na malaika pekee, Vinginevyo unajidanganya;
Ni upuuzi kuamini kuwa uko pekeyako kwa mwenzako
TAFAKARI
Mi sina wasi wasi na hilo. Mi mkewangu nimemkuta bikra. Huwezi kunilazimisha kwamba naye yuko kama hao wa kwenu. Nina imani nae. Sina sababu ya kuamini kinyume kama sijamkuta kinyume.
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo?
Nimekuelewa vyema, Usikurupuke; Nani kakuambia nimesema hivyo kutokana na uzoefu wangu binafsi?Labda hujaniwelewa.. unachofanya wewe ni generalization ya jambo kutokana na experience yako
Je, Hawa wote wanaosapoti hoja mimi ninayo nasaba nao? Nawafahamu mimi? Kuna wanachopata kutoka kwangu kwa kufanya hivyo?
Tatizo ni kuwa umeamua tu kupingana na ukweli kwa kutumia hoja zako chakavu-Unao uhuru wa kufanya utakacho sikukatazi.
Hembu pitia comments za wengine kwenye Uzi huu,[Kweli unaweza kujiaminisha kuwa wote wanaosapoti ni watu wangu wa karibu?[-Si rahisi, Kama kweli unafikiria kwa kutumia Ubongo hai lakini.]labda na ya watu wa karibu yako
Hulazimiki kuayaamini ila Msimamo wako huo unachigiza jinsi hoja zako zilivyodumaa na zisivyokuwa na mashiko.Haiwezi kuwa sheria, hayo ni ya kwako na wa kwako,Huo ni mtazamo wako na imani yako,Kuna watu wengi tu wanakaa na wapenzi wao bila kuwasaliti, ndio maana nikasema ukiona wewe huwezi sema me siwezi usiseme haiwezekani.
Vipi ikiwa unachodhani kuwa ni sahihi si sahihi .Na Imani yako ikawa potofu pia?
Sawa, Unaweza ukasema wewe ni mwaminifu na ukawa muaminifu kweli.
Lakini, Vipi kuhusu mwenzako anaaminika kiasi gani?
Kwa maana je;
Anaudumisha huo uaminifu unaoamini anao na ambao yeye anakuaminisha kuwa anao?
Hivi ni wangapi unasikia walikuwa ni waaminifu lakini mwishowe ika-kugundulika kuwa wanachepuka kwa siri kubwa?
Labda kama huishi dunia tunayoishi sisi,
Vinginevyo ushasikia na unafahamu wazi hayo yapo.
Why shouldn't I? While i got a billion reasons to do that?Dont make sweeping generalization.
Stop fooling yourself.
*****Usiwe kama Mbuni kuficha Ka-kichwa kako kadogo Mchangani huku limwili lote liko wazi.****
na uvae kondom za 5000 pumbafu zako!!
Nimekuelewa vyema, Usikurupuke; Nani kakuambia nimesema hivyo kutokana na uzoefu wangu binafsi?
Je, Hawa wote wanaosapoti hoja mimi ninayo nasaba nao? Nawafahamu mimi? Kuna wanachopata kutoka kwangu kwa kufanya hivyo?
Tatizo ni kuwa umeamua tu kupingana na ukweli kwa kutumia hoja zako chakavu-Unao uhuru wa kufanya utakacho sikukatazi.
Hembu pitia comments za wengine kwenye Uzi huu,[Kweli unaweza kujiaminisha kuwa wote wanaosapoti ni watu wangu wa karibu?[-Si rahisi, Kama kweli unafikiria kwa kutumia Ubongo hai lakini.]
Hulazimiki kuayaamini ila Msimamo wako huo unachigiza jinsi hoja zako zilivyodumaa na zisivyokuwa na mashiko.Huo ni mtazamo wako na imani yako,
Vipi ikiwa unachodhani kuwa ni sahihi si sahihi .Na Imani yako ikawa potofu pia?
Sawa, Unaweza ukasema wewe ni mwaminifu na ukawa muaminifu kweli.
Lakini, Vipi kuhusu mwenzako anaaminika kiasi gani?
Kwa maana je;
Anaudumisha huo uaminifu unaoamini anao na ambao yeye anakuaminisha kuwa anao?
Hivi ni wangapi unasikia walikuwa ni waaminifu lakini mwishowe ika-kugundulika kuwa wanachepuka kwa siri kubwa?
Labda kama huishi dunia tunayoishi sisi,
Vinginevyo ushasikia na unafahamu wazi hayo yapo.
Why shouldn't I? While i got a billion reasons to do that?
Stop fooling yourself.
*****Usiwe kama Mbuni kuficha Ka-kichwa kako kadogo Mchangani huku limwili lote liko wazi.****
Do not make assumptions, not every situation is similar - Aristotle