Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,788
Point!!Hata wanawake wanapenda wanaume warefu.
Ofcoz watu warefu awe mwanamke au mwanaume wana mvuto wao.
Sifa kubwa ya watu warefu ni kujiamini, wengi pia hua wapole na wastaarabu. Hua ni waskivu pia.
Kua mrefu ni ufahari.