Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,657
- 8,590
huyo PM ameweka lock anaogopa kuwindwaDuh usije nifanya nikamtafuta PM,maana mimi ndio ugonjwa wangu huo,yaani nikianza siachii mpaka nisikie ngurumo na upepo unaovuma.
huyo PM ameweka lock anaogopa kuwindwaDuh usije nifanya nikamtafuta PM,maana mimi ndio ugonjwa wangu huo,yaani nikianza siachii mpaka nisikie ngurumo na upepo unaovuma.
Kama maoni yako mbona umeyaweka humu?Habari wakuu.
Wakuu kusema ukweli wanawake warefu wanaukonga sana moyo wangu. Wanawake wafupi itokee tu basi, ila moyo wangu hasa unavutiwa sana na wanawake warefu.
Mwanamke mrefu hasa ukitembea nae njiani unajisikia ufahari. Mimi wanawake wafupi na wasio na mikia inatokea bahati mbaya tu vile nakua sina ramani yoyote kama vile simba akiishiwa nyama hula majani.
Salute kwenu wanawake warefu.
Naomba ieleweke kua haya ni maoni yangu binasfi na sio kumkshfu mtu yoyote.
Hii zama ni ya digitali,kwa hiyo mimi nitamuingilia huko bila kizuizi.huyo PM ameweka lock anaogopa kuwindwa
Uwwiiiiiii ahahahahhahaaNasikiaga wanawake warefu wana papuchi ndefu pia.
Inaonekana una gegedo refu mno we jamaa si bure.
Wakuulize weweAaah unafanyaje sasa?si umehamia kwangu au? basi waambie waniulize mie bhana.
Hapo umesema safi kabisa,waniulize mimi ndio nitajibu maswali yoote yanayohusu maeneo nyeti ambayo tayari nimeyabusu na kuacha alama zangu za Kijerumani au vipi?Wakuulize wewe
Eee kabisaHapo umesema safi kabisa,waniulize mimi ndio nitajibu maswali yoote yanayohusu maeneo nyeti ambayo tayari nimeyabusu na kuacha alama zangu za Kijerumani au vipi?
wewe ni Andunje nini?Utawajuwa tu wachaguwa nyama bucha ni lile lile tu[emoji126] [emoji108]
Hahaha bi mkubwa huyo ex wako namkumbuka mbona.
Huyo mwanao alivyo selective sasa..We huoni mvi zimeanza kumtoka na bado yuko nyumbani tu
Muone kwanza
Hahaha utakuwa unajifungua kila mwezi sasaHahahaaaa! bora usiondoke, hivi unambana tu napigwa double double, ukiondoka si nitafukuzwa na manesi.
Huyo mwanao alivyo selective sasa..We huoni mvi zimeanza kumtoka na bado yuko nyumbani tu
AMEN momma, you the best[emoji182] [emoji182] [emoji182]hebu usimsimange mtoto bwana, unataka ajibebee ligume gume ili aje arudi after a month umsakame tena? let her choose she deserves the best, just lead her to the right path.
Hahaha utakuwa unajifungua kila mwezi sasa
Love you mommaHapana yo our precious doughter, stay as long as you desire, mpaka pale utakapoamua,kwa wakati sahihi na kwasababu sahihi.
Mmh!..ndefu hivo,hio haifai