Habari wadau wa JF.
Nimefundisha sekondari za serikali kwa miaka 12, hivi karibuni nimepata ofa ya ajira chuo kikuu binafsi kama assistant lecturer. Mshahara wangu wa serikali ni mdogo sana na nimepambana kupata nafasi chuo kikuu cha public nimekwama. Mwenye uzoefu naomba tusaidiane ushauri je? Kuacha government na kwenda private would be a logical decision or not?
Karibuni wadau.