Kuacha Mapaja Nje Ni Fashion?

Kuacha Mapaja Nje Ni Fashion?

Ni kadalili kabaya sana, kaugonjwa haka kautandawazi kamewapoteza wengi sana.

Wakinadada ndo kabisa na mchango mkubwa unatokana na wanaume kuwatumbulia macho kwa kuwashangaa, wakati sis tunashangazwa na jinsi wasivoyathamini maumbile yao, wanatafasiri(They define that they look sex) wanapendeza/wanamvuto nk

Eh, je akina kaka na viheleni masikioni, kujichuna uso nk.

Dunia imekwisha mkuu huwezi walekebisha hao, kimtazamo wanakuona mshamba japo wao ndo wanapotoka na wamepotezwa na utamaduni wa kimaghalibi.
 
They are weaker sex among all creatures under the sun if there is no any commited and stronger sex (male) remoting them as dady, husband, boyfriend or brothers thus what happens.
 
Black.jpg
 
Back
Top Bottom