Kuacha Mapaja Nje Ni Fashion?

huo ni ushamba na ulimbukeni, kina dada badilikeni na mjiheshim


tatizo ni kwamba wakivaa hivyo wanaume wanawababakia kama wanaume wakiwaignore unafikri watavaa hivyo wataacha wenyewe. Maana wanajua hata wakivaa hakuna hata atakayewageukia.
 
kls-wmk.php
 
Mtu anavaa kinguo kifupiiiiii THEN anakuwa busy kukivuta chini au kuziba na pochi, simu nk. WHY?
 
Back
Top Bottom