Kinachonishanga hapa ni kitu kimoja! Mnaotamani ni nyie, mnaonunua ni nyie, mnaopenda kutazama mapaja ni nyie, wakosoaji ni nyie!!! sasa mnataka nini nyie wanaume???? mngekua hamvutiwi na mapaja unafikiri wacheyaacha bana? Du ila kiukweli ila picha ya kwanza hata Allen imekutoa mate inapofunguka! unatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango!
Hivo hivo wadada! Kip men nervous na vimoyo vyao vidunde dunde bana! wasijifanye wanakosoa kumbe wanapenda kuangalia