Kuacha kazi kumbe kazi!!

Kuacha kazi kumbe kazi!!

Nishawahi pitia situation unayopitia wewe sahivi...tena sio mda mrefu...niliamua kuachana na kazi za serikali na sikuwa hata na mtaji wowote..kwangu mi ckuzote kuwa na peace of mind ndo kila kitu kwenye maisha yangu...nachoshukuru family members wote walini support kwenye maamuzi yangu excluding marafiki zangu wachache ambao hawana msaada wowote katika maisha yangu but ndo mabingwa wa kumpa mtu hofu ya maisha
You're the kaka to this!! Kwakwel watu wakukupa hofu ndo kesho wanasema jamaa tulikua nae, wtf!!?
 
Mkuu watu wanavyokutisha utafikiri hiyo kazi unapata take home milioni moja kamili! Au unapata??
Kiufupi kama hukai nyumba yakupanga, halafu salary yako ni tgtsc-e unaweza kuanza na mtaji wa milioni 1 ukatoboa.
Hakikisha: hiyo familia haiko nyumba yakupanga, mkeo ana akili zake narudia anajielewa ikitokea kuna changamoto mnaweza shauriana kwa upendo( ama awe yule mtu dependent kwa kila kitu hawezi kukusaidua chochote ukikwama upambane alone)

Watoto wasiwe shule za private kipindi hiki unajipanga.
Maono nyeti, asante sana, kwel kupanga nako changamoto.
 
Nipe wazo unataka ufanye nini
Hapa nilipo Nina retail pharmacy, money services, duka la chakula na nanunua na kuuza mazao,(kulima sitaki)

My plan iliyoko rohon ni kufanya ufugaj wa sungura na kuku, kutengeneza na kuuza sabuni za miche, na baadae nimiliki kiwanda cha mikate. Baaasi. Nita grow mbele kwa mbele
 
Nyumba ni muhimu katika maisha ya kujitegemea. Mambo yako yakikwama hudaiwi kodi, ndani utakula ugali na mchicha ni siri yako.

Mwanamke mwenzagu hapa umeandika pumba pumba kabisa. Hujui ku link uhalisia wa maisha na maisha yenyewe.
Kwahiyo kila anayetaka kujiajiri lazima ajenge nyumba kwanza????
Ndio maana wanawake tunaambiwa tuna akili za kuku
 
Hapa nilipo Nina retail pharmacy, money services, duka la chakula na nanunua na kuuza mazao,(kulima sitaki)

My plan iliyoko rohon ni kufanya ufugaj wa sungura na kuku, kutengeneza na kuuza sabuni za miche, na baadae nimiliki kiwanda cha mikate. Baaasi. Nita grow mbele kwa mbele
Kwa ABC hizo nakushauri acha kazi na hizo nguvu zipeleke huko kwenye miradi yako;ukiendelea kuajiriwa unapoteza muda.
 
Mwanamke mwenzagu hapa umeandika pumba pumba kabisa. Hujui ku link uhalisia wa maisha na maisha yenyewe.
Kwahiyo kila anayetaka kujiajiri lazima ajenge nyumba kwanza????
Ndio maana wanawake tunaambiwa tuna akili za kuku
Duuh mama debo, OK, let's say lakwakwe ni A na lako ni B, mim nasema AB yote Sawa!! Heheh
 
Mkuu sikushauri kuacha kazi tena kama una familia usijaribu kabisa. Hayo unayotaka kufana ungrfanya kabla hujaamua kuwa na familia. Kama umedhamiria kuacha kazi tuambie una biashara gani mpaka sasa inayokuingiza kipato zaidi ya kazi yako.
 
You're the kaka to this!! Kwakwel watu wakukupa hofu ndo kesho wanasema jamaa tulikua nae, wtf!!?
Ndiyo kabisa mkuu...cha msingi ukitaka kufanya maamuzi kama hayo usisikilize ushauri kutoka kwa mtu yoyote fanya kutokana na nafsi yako inavyokutuma na uifanye iridhike
 
Dah...kule jeshini...ili ufike unapotaka lazima uondoe/uruke vikwazo....fukuza ndugu, mke na watoto....jilipue sauz....hata hivyo sisi tunakushauri tu....uamuzi unafanya mwenyewe...[emoji13] [emoji87]
 
Pole sn mtoa mada kwa mkanganyiko wa mawazo unayopata ila akili ya kuambiwa changanya na yako,mm sitaki nikushauri uache au usiache ila jitahidi kujisimamia ww mwwnyewe..... Ktk hili naomba ujifunze
1. Mimi nilitumikia miaka 8 serikalini tena sek huko kanda ya ziwa vijijini ila miaka 8 niliambulia kununua kiwanja tena squarer na nilikopa kujisomesha Baed
2. Baba yang alikua polis kahudum miaka 36 ameambulia kumiliki kajumba ka1 chenye wapqngaji na mapoli ya mikorosho, nilikulia Maisha ya kipolis ya baba kuwa nafuu mwisho w mwezi na ktkt ya mweziii Kwan kua wao Wakulia na ration.
3. Mwaka 2015 mwanang wa 1 alitakiwa aingie std 1 nilimpeleka public school kumuandikisha na yy alikuwa wa 214 kuandikishwa, niliumia sn nikifikilia mateso niliyokuwa napata nikiwa kazin kijijin, ikinyesha mvua huendi mjini mpk msimu wa mvua uishe tena gari 1 kwa siku afu nimeshindwa mlipia Ada mtt hata ya laki 8 asome shule nzuriii? Moyoni nilisema hii kazi aifaiii" baba yang wakati nikiwa mdogo anaingia shift ya usiku kwenye lindo Lake alikua anasema Soma iliusiwe polis kama mm" kauli iliniuma kila Maisha au malengo yasipotimia.
3. July 2016 nilijikalia home nikitafakariii elimu ya mtt na maisha daah niliumia sn alipo rudi dogo toka shule hana daftari na kaumia sikioniii na muuliza anasema kapigwa na std 5,wkt naenda shule kuuliza mwl wa darasa alijibu "kaka yng ni ngumu kumeneji wtt 200 afu nipo peke yang,tulivutana kwa hoja ila akahitimisha zipo shule zinazojali na kufatilia usalama w mtt ila Siyo pale tena hata yy akadai mwanae asome pale hivyo nilijisemea mwenyewe kama nafanya kazi ambayo nashindwa msomesha Mtt hainifai.
3. Dec 2016 nilienda NMB nikachukua mafao yang nikajenga vyumba 3 na sebule,nikaweka madirisha nikabeba familia nikahamia na Jan 2017 sikuripoti kaziniii kesi zikaunguluma TSC hatimae wakanitimua kwa kuwa walifanya kesi na file mm moyoni nilikua nimeacha.
3. Baba yang aliposikia nimeacha kazi ya ualimu alitaka sababu nikampa hizi nazenginee ambazo zilimuhusu yy alishindwa nivutia kuwa muajiriwa wa serikali akasema upo sahihi ila mama akuunga mkono na wife.
4. July 2017 nilipata kazi kwa NGO flaniii mshahara zaidiii ya ule na marupu rupu kadhaa....for sure nimeweza kufanya finishing kajumba kangu na kuanza ujenzi wa nyumba ya kupangisha ambayo ipo hatua nzuriii na naimani itaishaaa, pia dogo naweza msomesha shule standard bila wasi wasi na wife anafnya biashara kupitia pesa zng ambazo wkt nipo gvt nilishindwa hata mpa mradi wa madela jinsi kipato kilivyo kuwa finyu
4. Bank walinitafuta tukaa chini tukakubaliana kila mwezi ntawapa laki na nusu pia mambo yakigoma nawapa kalenda nikipta nawatupia kwa kua dhamana ilikua salary slip hivyo Hawana jinsi tunavumiliana ivyo ivyo
5. Mama amerudi kundini kwa kuona kumbe nilikua sahihi kwa kua nimepiga hatua ambayo labda ningeifikia baada ya kustaafu 2050.....maisha ya ualimu magumu, ila wapo wanaofanikiwa ktk ualimu japo hakuna mwl Tajiriiii kikubwa kutokuwa muoga na kujitoa mhanga japo ya kuambiwa changanya na yakoooo
 
Kama unafamilia usikurupuke kuacha tu ghafla, jijenge, weka miradi kadhaa ambayo itakusukuma kukupatia chochote kwa ajili ya familia yako na hakikisha umesimama vyema ndio uache

Mtaani ni kugum hasa ukiwa huna kazi au chochote cha kukuingizia pesa mkuu na wewe una familia usijeitesa bure familia yako jipange ukiacha unakua umechange tu direction hata hiyo miradi aweza simamia mkeo kw auangalizi wako ukaendelea na hiko unachokitaka kukifanya kwa uhuru.
Vipi mfano mtu ukisimamishwa kazi ghafla familia hawatoteseka? Kwa uoga huo utaajiriwa utateseka huku ukisubiri pensheni uzeeni. Uzee wenyewe unakuta una sukari mara unatetemeka mikono, unanunua kigari kuendesha tabu kwa sababu huoni vizuri. Tafuta uhuru wa kiuchumi ukiwa kijana.
 
Dah...kule jeshini...ili ufike unapotaka lazima uondoe/uruke vikwazo....fukuza ndugu, mke na watoto....jilipue sauz....hata hivyo sisi tunakushauri tu....uamuzi unafanya mwenyewe...[emoji13] [emoji87]
South imebakia kuwa kiwanja cha wauza unga tu kwa maisha ya kazi utaishi vizuri lakini huwezi kusave pesa, nakijuwa vizuri kiwanja kile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom