goodfool
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 1,668
- 996
- Thread starter
- #141
Shubiri kweli shubiri, good view mkuu,asante.katika maisha kwanza jipange, na uhakikishe mipango yako iko sahihi usikurupuke kwenye biashara tunakutana na mengi yanyohitaji akili ya ziada. na usiwe controlled na watu wengine kwenye maisha.