Kuacha kazi kumbe kazi!!

Kuacha kazi kumbe kazi!!

Kumbuka kuwa huwezi kuwaridhisha watu wote wa familia yako ktk jambo lolote ufanyalo,hata yy wapo ndugu ambao huwnda wanampa chaos of mind kwa shughul zao wanazozifanya lkn they are still doing them because they love their jobs...
Sasa bhc ,ktk maisha ukiwa na MTU wa kuwaza kuwafurahisha watu watu wengine kulko kujifurahisha mwenyewe hili jambo baya sana,mwisho waweza pata depression na kifo kikafuata..ndio maana ndoa za kulazimishana kisa ndugu au wazazi wamekuchagulia who to marry with huwa haziwi na furaha kama zile ambazo MTU alichagua mwenyewe MTU wa kuoa au kuolewa nae....
Acha amani ianze nawew kwanza then ndio isambae kwa watu wengine....love urself first.. Don't fight pleasing people in this life.
Asante sana, tena ubarikiwe
 
"You can't succeed without loving what you do, And the best way to love what you do, Is doing what you sincerely love to do".
@idriss_quotes

My brother you've got a super burning desire " Craving " for the best two treasures ever ie (A Time freedom and Financial freedom ) which is actually the most crucial in the entrepreneurial make.
Scan, Assess and Calculate the risks then go for it.
One of the worked opinions, thaaanks sir
 
Unaiona wapi hiyo biashara yako ya duka la dawa baada ya miaka 5 ?
Kaka what I need is the streem of cash-flow, no matter naionaje, silka ya mjasiria Mali ni kuangalia what real the market need. So kwa hiyo miaka nategema kufungua Pharmacy kabisa, ndiyo uhai wa mawazo ya kibiashara nadhan, (growing- expanding)
 
Ngoja nikupe mwongozo sahihi; unapo acha kuajiriwa maana yake unaacha kuwa tegemezi wa kipato cha mwajiri wako. Unaanza kujitegemea mwenyewe, katika kujingizia kipato bila kungoja tarehe 15 au 30. Wazo la kwamba unataka kuacha kazi futa kabisa, sema nataka kufanya kazi nje na mshahara na marupurupu. Hapo, baadala ya kuamkia kusaini daftari la mahudhurio ofisini, unaamka na daftari ya mapato na matumizi mkononi mwako na kujaza makadirio ya mapato ya kazi yako kwa siku. Amua mara moja acha kusitasita.
 
Nishawahi pitia situation unayopitia wewe sahivi...tena sio mda mrefu...niliamua kuachana na kazi za serikali na sikuwa hata na mtaji wowote..kwangu mi ckuzote kuwa na peace of mind ndo kila kitu kwenye maisha yangu...nachoshukuru family members wote walini support kwenye maamuzi yangu excluding marafiki zangu wachache ambao hawana msaada wowote katika maisha yangu but ndo mabingwa wa kumpa mtu hofu ya maisha
ulikuwa na muda gani kazini mkuu.
 
mkuu naomba nikushauri baada ya kufatilia Uzi wako kwa siku 2 sasa nimesoma all comments

fanya kitu unachoona kinakupa furaha bila kuangalia hofu za wengine but wao kuwa na hofu juu yako si jambo baya la kukumiza ww au kukufanya usiamue unachotaka et kwa kuwaofia wao

nivigumu kukuelewa ila kadri muda unavyo zidi kwenda wakiona matunda ya maamuzi yako ama kwa hakika watakusifia kwa maamuzi mazuri na yakishujaa...

usiofie kufal
 
Big up saana mkuu, kitu gan kilikusukuma mkuu... Je, hujawah jutia?
Mkuu vingi vilinisukuma...1.Kufanya kazi mazingira mbali na familia wakati kuna umuhimu mkubwa wa mimi kuwepo karibu ili mambo yaende...2.Mazingira magumu ya kazi kwa maslahi duni chini ya manyanyaso makubwa ya mwajiri...3.Kukosa uhuru wa mambo yangu...4.Tangu nimeajiriwa sijawahi ishi maisha ya furaha/peace of mind..........sijawahi juta sababu nachoweza kukitengeneza huku ndo nilichokuwa nakipata kule kwenye ajira...sio kwamba naishi maisha mazuri or labda natoka familia bora..naishi maisha ya kawaida sana,sina hela na familia nayotoka niyakawaida sana...kwangu mimi ckuzote sitaki niishi maisha ya kukosa furaha na kuendeshwaendeshwa na maboss miungu watu na haitakujatokea
 
Basi nipe tafsiri ya ku rap mkuu [emoji23][emoji23]
Kama unaweza kutumia hiyo lugha mbele ya wazazi wako basi uko sahihi. Ukiona kuna lugha unaweza kuitumia kuwazungumzia wazazi wako kwa watu wengine lakini huwezi kutumia hiyo lugha mbele yao basi jua bado hujawaheshimu wazazi wako kiasi cha kutosha.
 
Ila kuendeshwa kupo tu, tena kwenye kama Tanzania hata ukijiajiri utaendeshwa tu japokuwa sio moja kwa moja.
 
Eyes [emoji356] thanks
Ngoja nikupe mwongozo sahihi; unapo acha kuajiriwa maana yake unaacha kuwa tegemezi wa kipato cha mwajiri wako. Unaanza kujitegemea mwenyewe, katika kujingizia kipato bila kungoja tarehe 15 au 30. Wazo la kwamba unataka kuacha kazi futa kabisa, sema nataka kufanya kazi nje na mshahara na marupurupu. Hapo, baadala ya kuamkia kusaini daftari la mahudhurio ofisini, unaamka na daftari ya mapato na matumizi mkononi mwako na kujaza makadirio ya mapato ya kazi yako kwa siku. Amua mara moja acha kusitasita.
 
Kumbuka kuwa huwezi kuwaridhisha watu wote wa familia yako ktk jambo lolote ufanyalo,hata yy wapo ndugu ambao huwnda wanampa chaos of mind kwa shughul zao wanazozifanya lkn they are still doing them because they love their jobs...
Sasa bhc ,ktk maisha ukiwa na MTU wa kuwaza kuwafurahisha watu watu wengine kulko kujifurahisha mwenyewe hili jambo baya sana,mwisho waweza pata depression na kifo kikafuata..ndio maana ndoa za kulazimishana kisa ndugu au wazazi wamekuchagulia who to marry with huwa haziwi na furaha kama zile ambazo MTU alichagua mwenyewe MTU wa kuoa au kuolewa nae....
Acha amani ianze nawew kwanza then ndio isambae kwa watu wengine....love urself first.. Don't fight pleasing people in this life.
Sawa, lakini naposema ataipatia familia yake "chaos of mind" ninamaanisha watoto zake na mkewe-kwa kuwa amesema ana watoto. Sizungumzii ndugu zake.
Mke na watoto hao ni lazima ktk kuwapa peace of mind.
 
Kama unaweza kutumia hiyo lugha mbele ya wazazi wako basi uko sahihi. Ukiona kuna lugha unaweza kuitumia kuwazungumzia wazazi wako kwa watu wengine lakini huwezi kutumia hiyo lugha mbele yao basi jua bado hujawaheshimu wazazi wako kiasi cha kutosha.
NAFUTA KAULI MKUU. ILA KUNA UMRI UNAFIKA UNAKUA NA UWEZO WA KUCHAGUA YES NA NO KWA WAKATI GANI. EXCUSES MASTER!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom