Pole sn mtoa mada kwa mkanganyiko wa mawazo unayopata ila akili ya kuambiwa changanya na yako,mm sitaki nikushauri uache au usiache ila jitahidi kujisimamia ww mwwnyewe..... Ktk hili naomba ujifunze
1. Mimi nilitumikia miaka 8 serikalini tena sek huko kanda ya ziwa vijijini ila miaka 8 niliambulia kununua kiwanja tena squarer na nilikopa kujisomesha Baed
2. Baba yang alikua polis kahudum miaka 36 ameambulia kumiliki kajumba ka1 chenye wapqngaji na mapoli ya mikorosho, nilikulia Maisha ya kipolis ya baba kuwa nafuu mwisho w mwezi na ktkt ya mweziii Kwan kua wao Wakulia na ration.
3. Mwaka 2015 mwanang wa 1 alitakiwa aingie std 1 nilimpeleka public school kumuandikisha na yy alikuwa wa 214 kuandikishwa, niliumia sn nikifikilia mateso niliyokuwa napata nikiwa kazin kijijin, ikinyesha mvua huendi mjini mpk msimu wa mvua uishe tena gari 1 kwa siku afu nimeshindwa mlipia Ada mtt hata ya laki 8 asome shule nzuriii? Moyoni nilisema hii kazi aifaiii" baba yang wakati nikiwa mdogo anaingia shift ya usiku kwenye lindo Lake alikua anasema Soma iliusiwe polis kama mm" kauli iliniuma kila Maisha au malengo yasipotimia.
3. July 2016 nilijikalia home nikitafakariii elimu ya mtt na maisha daah niliumia sn alipo rudi dogo toka shule hana daftari na kaumia sikioniii na muuliza anasema kapigwa na std 5,wkt naenda shule kuuliza mwl wa darasa alijibu "kaka yng ni ngumu kumeneji wtt 200 afu nipo peke yang,tulivutana kwa hoja ila akahitimisha zipo shule zinazojali na kufatilia usalama w mtt ila Siyo pale tena hata yy akadai mwanae asome pale hivyo nilijisemea mwenyewe kama nafanya kazi ambayo nashindwa msomesha Mtt hainifai.
3. Dec 2016 nilienda NMB nikachukua mafao yang nikajenga vyumba 3 na sebule,nikaweka madirisha nikabeba familia nikahamia na Jan 2017 sikuripoti kaziniii kesi zikaunguluma TSC hatimae wakanitimua kwa kuwa walifanya kesi na file mm moyoni nilikua nimeacha.
3. Baba yang aliposikia nimeacha kazi ya ualimu alitaka sababu nikampa hizi nazenginee ambazo zilimuhusu yy alishindwa nivutia kuwa muajiriwa wa serikali akasema upo sahihi ila mama akuunga mkono na wife.
4. July 2017 nilipata kazi kwa NGO flaniii mshahara zaidiii ya ule na marupu rupu kadhaa....for sure nimeweza kufanya finishing kajumba kangu na kuanza ujenzi wa nyumba ya kupangisha ambayo ipo hatua nzuriii na naimani itaishaaa, pia dogo naweza msomesha shule standard bila wasi wasi na wife anafnya biashara kupitia pesa zng ambazo wkt nipo gvt nilishindwa hata mpa mradi wa madela jinsi kipato kilivyo kuwa finyu
4. Bank walinitafuta tukaa chini tukakubaliana kila mwezi ntawapa laki na nusu pia mambo yakigoma nawapa kalenda nikipta nawatupia kwa kua dhamana ilikua salary slip hivyo Hawana jinsi tunavumiliana ivyo ivyo
5. Mama amerudi kundini kwa kuona kumbe nilikua sahihi kwa kua nimepiga hatua ambayo labda ningeifikia baada ya kustaafu 2050.....maisha ya ualimu magumu, ila wapo wanaofanikiwa ktk ualimu japo hakuna mwl Tajiriiii kikubwa kutokuwa muoga na kujitoa mhanga japo ya kuambiwa changanya na yakoooo