Na watumishi pamoja na elimu zetu sisi ni financial illiteracyUnafahamu ni kwa nini watumishi 90% wakifika umri wa kustaafu hawatamani kustaafu?
Ukiwa mfanyakazi wewe kila siku unawaza mwisho wa mwezi tu na ukipokea mshahara ie pesa inakuwa imeisha palepale kabla hujaanza matumizi kwa madeni uliyonayo, kuanzia dukani kwa Mangi mpaka bar.
Awapeleke studio nini?😁Wazazi wanarap!!?
Kuna biashara tulizozizoea, kila mtaa zipo huwezi kuacha kazi eti ufungue biashara hizo.
Mfano: Saloon, Bars, Grocery, banda la chipsy, duka, m-pesa, tigo pesa, mgahawa,playstation etc
Unless utakuja na upekee fulani wa kuboresha biashara hizo. Mfano: KFC, PIZZA HUT, Village Supermarket, Kikuu etc
- Mifano ya biashara za ujasiriamali wenye akili ambao unaweza pia kuuweka kwenye kampuni ( LLC ) kwa haraka haraka ni kama,
> Smart- Codes - Edwin Bruno.
> Sirjeff Agrifriend - Sirjeff Dennis
> BrighterMonday
> Retail Chains ( Zinaweza kuwa Dawa, Migahawa, Hospitali, Supermarkets etc
> Zack Finance - Isaac Mnyang'ya
> JamiiForums - Maxence Melo
> HB Worldwide ( Rungu, dawa tatu etc
> Agriculture ( Irrigation )
> ImpEx etc
Hizi biashara nakuambia ukianzisha, hutapata muda wa kutumikia mwajiri kabisa. Utatumia muda mwingi sana na akili kufikiria
Sikubaliani nawe mkuu, nitaendaje kujifunza kwa wanafunzi, kuajiriwa ni Shule tosha, hata waanzilishi Wa Amazon,apple, Mac juice, Nk walikuwa waajiriwa. Hao ma graduate wakiajiriwa watajua which is which, na pia kama hawana call nje ya taaluma, watabak kuajiriwa, hata wawe na PhDUkitaka kuacha kazi nenda kawaulize kwanza wahitimu wa vyuo wenye miaka 3 na zaidi mtaani ndo utapata majibu.
HATA UWE NA MIL 300 KAMA UNAFANYA BIASHARA KWA AJIL YA PESA, HUTOBOI, ILA KAMA UMAFANYA KWAKUA UNAPENDA, BAS PESA ZTAKUFUATA, WAUZA KARANGA WANASOMESHA NA WAPO WAAJIRIWA WANAKWEPA MAJUKUM, DUNIA IANGALIE MARA MBIL MKUU.UMEJIANDAAJE KUACHA KAZI?
WAWEZA KUTA UNAWAZA KUACHA KAZI KWAKUA UNA MKOPO WA MILION 20TU na UKAHISI INAKUTOSHA
Ni kweli katika kuhajiriwa sahau kushika 200m kwa wakati mmoja;ingawa kujiajiri mwanzo huwa mgumu lakini baada ya muda kama mikakati iko vizuri,utaona matundaOne of the most things I dream for, mim kwakwel being inferior ni jambo ambalo nalipga Vita, napenda kuwa na mambo nitakayojivunia maiashani, kuwa under somebody's ni jambo gum kwangu kwani nahis linabana ubunifu wangu. Time never freeze!
Siyo waajiri wote, ila dalili za kuona mbali kama hapo ulipo hakuna future ni pamojs na kuangalia wale uliowakuta wana maisha gani? Siyo unakaa sehemu watu siyo malofa tu bali unakuta hata afya zao ni dhaifu, hapo kimbia mapema.Good, kumbe waajiri hawapendi watu wafanikiwe kimaisha, VP wata inspire wengne kufanya HAPO. Pole mkuu.
Wewe nawe wa wapi? Yani mimi naujuwa msoto mwanzo mwisho niende kupata ushauri kwa Graduate? Haya ni masihara.Ukitaka kuacha kazi nenda kawaulize kwanza wahitimu wa vyuo wenye miaka 3 na zaidi mtaani ndo utapata majibu.
Baba umejifunza mengi, asante aseSiyo waajiri wote, ila dalili za kuona mbali kama hapo ulipo hakuna future ni pamojs na kuangalia wale uliowakuta wana maisha gani? Siyo unakaa sehemu watu siyo malofa tu bali unakuta hata afya zao ni dhaifu, hapo kimbia mapema.
Kaka you said it all, angejua yeye c wakwanza kusema hvyo, na hvyo nimeshataja kwenye Uzi kuwa ndo ninayotishiwa hayo, nadhan hajasoma vzr andiko langu.Wewe nawe wa wapi? Yani mimi naujuwa msoto mwanzo mwisho niende kupata ushauri kwa Graduate? Haya ni masihara.
Unapotaka kufanya jambo unapaswa kuwaangalia wale waliofanikiwa kwenye njia unsyotaks kuipita wewe ili uwe kama wao, na siyo kuwaangalia wanaotamani wawe kama wewe.