Kuacha kazi kumbe kazi!!

Kuacha kazi kumbe kazi!!

Jenga nyumba,somesha watoto mpaka wahitimu elimu ya juu, Waanze kujitegemea wapatie security ya Maisha yao hata Kama hawatapata ajira.muwezeshe shemeji na ndugu zako mpaka ifike mahali kila mmoja anajiweza na sio mwingine aje kunung'unika wape support ya kutosha.Nunua gari yako, ya shemeji, na ya watoto kuwapeleka na kuwarudisha shule mnunulie na wazazi wako usafiri ili wasihendelee kupanda daladala ukiyakamilisha haya.
KAMWE HAKUNA ATAKAYEKUPINGA KWA MAAMUZI YAKO NJE YA HAPO UNAWAPA WAKATI MGUMU SANA WANAOKUZUNGUKA KWA KUDHANI LABDA UMEROGWA, AU KUNA KIPINDI ULIUGUA MALARIA KALI SANA. yawezekana hata mawifi Kama Wajanja ili basi unamtengenezea mazingira mabaya Sana shemeji maaana lazima atafutwe mchawi
 
Nakupa pongezi kwa kuwa na mawazo chanya,na ili ulitekeleze ni suala la kimkakati.....weka mambo yako sawa njoo uje uwe CEO wa kampuni yako unayomiliki.
One of the most things I dream for, mim kwakwel being inferior ni jambo ambalo nalipga Vita, napenda kuwa na mambo nitakayojivunia maiashani, kuwa under somebody's ni jambo gum kwangu kwani nahis linabana ubunifu wangu. Time never freeze!
 
Kuacha kazi ni kazi kweli. Ila kama wengi walivyoshauri, jijenge kwanza. Huu muda ulionao waza unapenda kufanya nini na uweke misingi ya unachotaka kukifanya.
Mimi nilikuwa na mawazo kama yako nikaacha kazi nikajikuta savings zote zimeishia kwenye kuweka msingi wa kitu nilichotaka kufanya.
Kiasi kwamba nikajikuta na upungufu.
Ukiwa hujaanza kujiajiri mawazo na mipango unayokuwa nayo hasahasa ya hela mara nyingi inakuwa ni kidogo kuliko uhalisia.

Kwa kifupi weka misingi ya unachotaka kufanya kisha uache kazi
 
Kweli mkuu, Mimi huwa nawaambia wanaisubiri ajira kuwa, KUNA MAMBO LAZMA WAAJIRIWE NDO WATAYAJUA, KAMA NDOA ZILIVYO, UKIWA NJE HUJUI, BUY THE WAY, KUNA WATU WANA DREAM NA WENGNE HAWANA, YAN MTU ANAJUA KUAJIRIWA MPAKA PUMZ YA MWISHO, NA ANAPIGIA HESABU KIINUA MGONGO. Ok NNAKAWAIDA YA KUTOKUPONDA SEHEMU NILIYOTOKA AU KUPITIA KWASABAB TU YA INTEREST BINAFSI, ISTOSHE CHANGAMOTO ULZOTAJA MTU ANAWEZA KUZINYWEA MAJI but UKIWA NA CALL ZINGINE , HAVE TO pursuing THEM, NIISHIE HAPO.
Mimi nilishawahi kufanya kazi kwenye kampuni ya Wahindi, katika staff wote hakuna hsta mswahili mmoja anayekuja na private car kazini au kumiliki gsri kuna siku nikawasuprise nikaenda na gari yangu pale ofisini wahindi wote masikio yamewasimama uzuri ni kwamba CEO aliyeniajiri ananifahamu vizuri background yangu na familia ninayotokea kwahiyo hakukuwa na kufikiriwa labda mimi ni mwizi au lah lakini wale wahindi vidampa walinishangaa sana.

Sikutaka kupoteza muda wangu kwenye kampuni ambayo mtu ana miaka 15 kazini hata kiusafiri ka kujia kazini hana, nyumba hana huu ni msiba, ukiwa unafanyakazi sehemu kama hiyo usipojiongeza utakuja kuchekea chooni.

Nikaja kufanyakazi na wazungu roho mbaya hawa ni Wafaransa ofisi haina parking ya gari kuna parking zao tu seniors, unajuwa hii ni nini maana yake? Ni kwamba wao hawakufikirii wala kuwawazia wafanyakazi wao kuja kumiliki magari, sehemu kama hiyo maisha yako yataendelea kuwa duni milele.
 
Ok mkuu, nimekuelewa. Labda niulize kwanini unaijali hofu ya wengine juu yako kama unaamini unachoitaji mkuu.
Asante, ukirejea Uzi Wang utaona jinsi gani ninavyokwazwa na mashairi ya usiache kazi utateseka, na nimeeleza namna gan cna hof juu ya hofu zao, the poor see challenges and avoid, while successful face them bampa to bampa, poor see challenges as probs, successful seeing them as opportunities, thanks.
 
One of the most things I dream for, mim kwakwel being inferior ni jambo ambalo nalipga Vita, napenda kuwa na mambo nitakayojivunia maiashani, kuwa under somebody's ni jambo gum kwangu kwani nahis linabana ubunifu wangu. Time never freeze!
Uko sahihi mkuu....wengi wataponda kwa sababu si wote wanategemea kuwa na kampuni zinazoeleweka kwa baadaye;cha muhimu weka mipango yako vizuri,na jaribu kuifanyia majaribio kabla ya kung'atuka
 
Haha ndio kungekuwa na utaratibu wa kupena kama hivi, ningekupata mpaka unapoishi, hadi namba zako ungeshangaa nimezitoa wapi wee ajira tamu wewe licha ya mawazo ya mikampuni yaliyojaa kichwani.
Daah ila sometime ajira tamu mkuu uhakika wa kula upo kwa watu wenye mawazo madogo kama mimi tunanenepa mpaka vitambi vya kufutia simu vinapatikana.
 
Nafikili mkuu itakuwa na mfanya biashara wakawaida, maana mjasiriamali ana setting ya kukuwa tu until died. au labda ungesema unaanza kawaida tu.
KWELI NIMEIREJEA REPLY YANGU NIMEONA CJASEMA SAWA, I MEAN KAMA ULIVYONIREKEBISHA, YAN JAMAA ANAPONITOLEA MF KUWA NIWE NA MAKAMPUN KAMA HAYO NDO NIACHE KAZI, NAONA KIZA, OPRAH WINFREY ALISEMA USIFIKIRIE KUHUSU THE WHOLE, ANZA HAPO ULIPO, MENGINE YATAKUPA WOGA, I WILL PROGRESS AS LONG AS I WILL BE IN THE GAME.. KUNA WATU WASINGE DROP UOT MAVYUONI WASINGE VUMBUA MAMBO MAKUBWA, EXM: M ZUCKERBERG
 
Asante, ukirejea Uzi Wang utaona jinsi gani ninavyokwazwa na mashairi ya usiache kazi utateseka, na nimeeleza namna gan cna hof juu ya hofu zao, the poor see challenges and avoid, while successful face them bampa to bampa, poor see challenges as probs, successful seeing them as opportunities, thanks.
Unafahamu ni kwa nini watumishi 90% wakifika umri wa kustaafu hawatamani kustaafu?

Ukiwa mfanyakazi wewe kila siku unawaza mwisho wa mwezi tu na ukipokea mshahara ie pesa inakuwa imeisha palepale kabla hujaanza matumizi kwa madeni uliyonayo, kuanzia dukani kwa Mangi mpaka bar.
 
Haha ndio kungekuwa na utaratibu wa kupena kama hivi, ningekupata mpaka unapoishi, hadi namba zako ungeshangaa nimezitoa wapi wee ajira tamu wewe licha ya mawazo ya mikampuni yaliyojaa kichwani.
HAPA MWENZAKO NIMEKONDA KUKONDA KISA DILEMMA HIYO.

NAHISI KA NKO KIFUNGON,

NINGEKUACHIA UPAMBANE NA WARATIBU
 
You said it all,kuacha kazi wakati bado hujaanza kukifanya hicho unachotarajia kukifanya baada ya kuacha kazi nayo ni dalili kubwa ya kuwa prove right wanaokushauri usiache,safari ya mile 1000 inaanza na hatua moja
Huwezi kuacha kazi bila plans.
Kama unampango wa kufanya biashara uwe umeshaianza
Kama ni kilimo na ufugaji uwe na shamba angalau na mbuzi wanne
Shamba una kibanda chenye vyumba angalau viwili sebule jiko na choo
Uhakika wa maji
Mengine yatafuata.
 
Jenga nyumba,somesha watoto mpaka wahitimu elimu ya juu, Waanze kujitegemea wapatie security ya Maisha yao hata Kama hawatapata ajira.muwezeshe shemeji na ndugu zako mpaka ifike mahali kila mmoja anajiweza na sio mwingine aje kunung'unika wape support ya kutosha.Nunua gari yako, ya shemeji, na ya watoto kuwapeleka na kuwarudisha shule mnunulie na wazazi wako usafiri ili wasihendelee kupanda daladala ukiyakamilisha haya.
KAMWE HAKUNA ATAKAYEKUPINGA KWA MAAMUZI YAKO NJE YA HAPO UNAWAPA WAKATI MGUMU SANA WANAOKUZUNGUKA KWA KUDHANI LABDA UMEROGWA, AU KUNA KIPINDI ULIUGUA MALARIA KALI SANA. yawezekana hata mawifi Kama Wajanja ili basi unamtengenezea mazingira mabaya Sana shemeji maaana lazima atafutwe mchawi
MKUU HEE UNATANIA!! MAGARI SIO MAISHA, ANYWAY, DINGI ANANYUMBA ZAKE NA GARI, NI BAADA YA KUSTAAFU,MIM HAWANITEGEMEI, BUT HOFU TUU, BI MKUBWA PRESHA PRESHA, MAISHA YA KUCOPY ETI KWA KUWA FAZA ALIKUWA FULAN NA MIM HUMO HUMO NO, NINA INTEREST ZANGU.
 
Wakuu heshima yenu. Katika kipindi cha miezi 9 mfululizo nimekua Dilemma kwa kile ninachokiita kushindwa KUACHA kazi. Nakua katika stress, hasa nikianza kuwasikia wazazi wakirap nikigusia suala hilo. Nimeajiriwa serikalini kama mwalimu. Sina shida yoyote kazini, ila nahisi kama muda wangu Wa kuitumikia serikali umetosha na ninatamani sasa kuishi maisha magumu yenye Uhuru ambapo naamini nitauona ubunifu wangu Wa fursa, sipendi kuwa average man, nataka kufikia malengo yangu mengine ambayo hayahusiani na taaluma.

Sikujua kama KUACHA kazi Nako ni kazi. Marafiki, waajiri, wazazi, ndugu, wamekua kikwazi kwa kunipa woga Wa hali ya juu, basi mim hata sina hofu, napenda kuishi hayo maisha wanayoyahofu. Huwa najisikia vibaya sana nikionywa kutoacha kazi, kazi yenyewe sasa nashindwa kuitekeleza vema kwa kuwa nimesha loose interest nayo, sitaki kufukuzwa nataka kuacha, Nimefanya kazi kwa miaka takribani 6, nahisi Nina call nyingine, huwa napenda sana Uhuru, ubunifu na kuthubutu.

Note:
Ukiwa mtumishi unakuwa secured kwa bima ya afya nk, hili ndilo wanalonitisha hasa, ukichanganya na wimbi la vijana mitaani walokosa ajira.

Nina familia, Je, inaweza kuwa kikwazo kwa mipango yangu?

Japo ninasoma sana vitabu, hasa motivational books, pia Business Books ila napima na mazingira halisi niliyopo,
Sio vitabu vinavyonichichea, ila call ndo inanichochea kusoma vitabu hivyo ili kugain more knowledge with confidence.

Nadhani GT watakuwa wananielewa zaidi ya nifikiriavyo.

Lengo langu sitaki kushika mawili. Na nimaamini katika kile nikipendacho kwa sasa.

Long story short, nisaidieni kimawazo.

Angalizi: We teachers and other servants are too coward with inferiority ya future challenge. Msinitishe nipeni strong thoughts.

Samahani kama kuna lugha Kali.
Maswali, ushauri,critics, mapendekezo ya maandiko, videos, quotes, welcome.
Asanteni.

TZ1
Ukitaka kuacha kazi nenda kawaulize kwanza wahitimu wa vyuo wenye miaka 3 na zaidi mtaani ndo utapata majibu.
 
"Huo ushujaa tunaowachache sana ktk hii nchi.
Do what you think is right. Hapa watakupoteza".
Boss asante, nachukua mawazo yote ila naamini naelemea kwa Yale yanayokuwa + kwngu, ambayo ni shauku nilonayo years now.
 
Kuacha kazi ni kazi kweli. Ila kama wengi walivyoshauri, jijenge kwanza. Huu muda ulionao waza unapenda kufanya nini na uweke misingi ya unachotaka kukifanya.
Mimi nilikuwa na mawazo kama yako nikaacha kazi nikajikuta savings zote zimeishia kwenye kuweka msingi wa kitu nilichotaka kufanya.
Kiasi kwamba nikajikuta na upungufu.
Ukiwa hujaanza kujiajiri mawazo na mipango unayokuwa nayo hasahasa ya hela mara nyingi inakuwa ni kidogo kuliko uhalisia.

Kwa kifupi weka misingi ya unachotaka kufanya kisha uache kazi
Asante my Queen, tatzo mim naamini kuwa ndoto zangu nianze kuztekeleza sasa, kwa kipindi sasa nimekuwa nikijarb kuishi maisha bila mshahara, kama Moja ya kujitathmin, siamin kuwa inahtajn a millions of $ Bali ni kiwezesh (mtaji) na nia, pasipo shauku ya overnight wealth.
 
Mimi nilishawahi kufanya kazi kwenye kampuni ya Wahindi, katika staff wote hakuna hsta mswahili mmoja anayekuja na private car kazini au kumiliki gsri kuna siku nikawasuprise nikaenda na gari yangu pale ofisini wahindi wote masikio yamewasimama uzuri ni kwamba CEO aliyeniajiri ananifahamu vizuri background yangu na familia ninayotokea kwahiyo hakukuwa na kufikiriwa labda mimi ni mwizi au lah lakini wale wahindi vidampa walinishangaa sana.

Sikutaka kupoteza muda wangu kwenye kampuni ambayo mtu ana miaka 15 kazini hata kiusafiri ka kujia kazini hana, nyumba hana huu ni msiba, ukiwa unafanyakazi sehemu kama hiyo usipojiongeza utakuja kuchekea chooni.

Nikaja kufanyakazi na wazungu roho mbaya hawa ni Wafaransa ofisi haina parking ya gari kuna parking zao tu seniors, unajuwa hii ni nini maana yake? Ni kwamba wao hawakufikirii wala kuwawazia wafanyakazi wao kuja kumiliki magari, sehemu kama hiyo maisha yako yataendelea kuwa duni milele.
Good, kumbe waajiri hawapendi watu wafanikiwe kimaisha, VP wata inspire wengne kufanya HAPO. Pole mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom