October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,632
- 5,023
Comrade jirushe kwanza ndege itaripuka hii parachuti lako utalitengenezea angani boss 🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣
Kuna biashara tulizozizoea, kila mtaa zipo huwezi kuacha kazi eti ufungue biashara hizo.Mkuu taja mfano wa biashara sizizo zoeleka kwanza.
Mtaalam nakuelewa, naomba kujua hapo ratail chain ni nin, maana umegusia dawa, maana retail pharmacy ni moja ya biashara za uhakika.Kuna biashara tulizozizoea, kila mtaa zipo huwezi kuacha kazi eti ufungue biashara hizo.
Mfano: Saloon, Bars, Grocery, banda la chipsy, duka, m-pesa, tigo pesa, mgahawa,playstation etc
Unless utakuja na upekee fulani wa kuboresha biashara hizo. Mfano: KFC, PIZZA HUT, Village Supermarket, Kikuu etc
- Mifano ya biashara za ujasiriamali wenye akili ambao unaweza pia kuuweka kwenye kampuni ( LLC ) kwa haraka haraka ni kama,
> Smart- Codes - Edwin Bruno.
> Sirjeff Agrifriend - Sirjeff Dennis
> BrighterMonday
> Retail Chains ( Zinaweza kuwa Dawa, Migahawa, Hospitali, Supermarkets etc
> Zack Finance - Isaac Mnyang'ya
> JamiiForums - Maxence Melo
> HB Worldwide ( Rungu, dawa tatu etc
> Agriculture ( Irrigation )
> ImpEx etc
Hizi biashara nakuambia ukianzisha, hutapata muda wa kutumikia mwajiri kabisa. Utatumia muda mwingi sana na akili kufikiria
broo nitakufata soon kwa njia hii!Madam, mpango wangu Wa kustaafu ni Wa muda, biashara ninayo inamwaka sasa, ila nahitaj kufanya zngne, VP ,nahitaj kuwa na nyumba kabs?
Ulivyoandika super Market nimewakumbuka uchumi, kuna mama amesuply bidhaa ya pesa ndefu na uchumi imefirisika na hajalipwa hadi leo na bank ana mkopo.Mtoa Mada
Una Wazo jema.
Kuajiriwa ni utumwa.
Nakushauri tafuta mradi ukiwa kazini
Ukisimama kiasi then ACHA KAZI YA UALIMU.
Kuna kipindi nimekiona TBC majuzi wiki hii cha SHAMBANI kilimwonyesha MAMA mmoja aliacha kazi Serikalini na kujikita kwenye KILIMO CHA MBOGA MBOGA kisichotumia Udongo
Baada ya maelezo yake yote ali niispire SANA
Analima mboga mboga nyingi kwa eneo dogo kwa gharama nafuu
Anauza kwenye supermarket na sehem mbalimbali hadi anazidiwa na order za wateja.
Nakushauri tafuta mradi au MTAJI kwanza
Pili shirikisha family kwa maana ya Mke na watoto wako.
Ndugu wengine watakupoteza
Retai Chains ni mfumo wa uuzaji wa bidhaa kwa rejareja. Zinaweza pia kuwa bidhaa zote au ukawa na "niche" fulani tu.Mtaalam nakuelewa, naomba kujua hapo ratail chain ni nin, maana umegusia dawa, maana retail pharmacy ni moja ya biashara za uhakika.
By the way ugali na mchicha ni best food kiafya, unaongezea na dagaa ls mwanza tu hapo mambo ni super.Nyumba ni muhimu katika maisha ya kujitegemea. Mambo yako yakikwama hudaiwi kodi, ndani utakula ugali na mchicha ni siri yako.
Kuna biashara tulizozizoea, kila mtaa zipo huwezi kuacha kazi eti ufungue biashara hizo.
Mfano: Saloon, Bars, Grocery, banda la chipsy, duka, m-pesa, tigo pesa, mgahawa,playstation etc
Unless utakuja na upekee fulani wa kuboresha biashara hizo. Mfano: KFC, PIZZA HUT, Village Supermarket, Kikuu etc
- Mifano ya biashara za ujasiriamali wenye akili ambao unaweza pia kuuweka kwenye kampuni ( LLC ) kwa haraka haraka ni kama,
> Smart- Codes - Edwin Bruno.
> Sirjeff Agrifriend - Sirjeff Dennis
> BrighterMonday
> Retail Chains ( Zinaweza kuwa Dawa, Migahawa, Hospitali, Supermarkets etc
> Zack Finance - Isaac Mnyang'ya
> JamiiForums - Maxence Melo
> HB Worldwide ( Rungu, dawa tatu etc
> Agriculture ( Irrigation )
> ImpEx etc
Hizi biashara nakuambia ukianzisha, hutapata muda wa kutumikia mwajiri kabisa. Utatumia muda mwingi sana na akili kufikiria
By the way ugali na mchicha ni best food kiafya, unaongezea na dagaa ls mwanza tu hapo mambo ni super.
Anayekula nyama anayanunuwa maradhi kwa bei kubwa ila menu hiyo ya ugali dagaa mixer mchicha unatengeza sfya ya uhakika, tubadili mindset zetu kwa sasa.
Wewe haujawahi kuajiliwa halafu ofisi imejaa majungu kila siku.Tuseme ukweli.
Majobless wengi we wish tungekua kwenye nafasi kama yako. Especially ambao tumejaribu vitu mbalimbali na havikuwork out, swala kubwa ni mtaji kukata halafu hakuna back up plan, malengo hayafikiki kama ambavyo ulipanga.
Kusema kwamba unatamani kuyaishi maisha haya umenishangaza kidogo, ila sina neno. Nachukulia katika vitabu umejifunza na umejua hatua unazochukua na utakazochukua.
hongera
Wewe haujawahi kuajiliwa halafu ofisi imejaa majungu kila siku.
Tuulize tuliofanyakazi taasisi mbalimbali tunajuwa kazi ni utumwa ingawa si kazi zote.
Zipo kazi kweli mtu unajisikia raha mustarehe, zamani nilikuwa natamani sana ndege lakini nilipoanza kuzipanda hamu ya ndege iliniisha huwa sina amani mpaka ndege ituwe.
Nikashangaa mdogo wangu mmoja yeye ndio kapata kazi kwenye ndege kila siku yupo angani final ameacha mwenyewe ile kazi na sasa amejiajili.
Nina uhakika mtu kama wewe ukimjuwa huyu dogo utamshangaa na kumuona mjinga sana kwa sababu wewe kichwani kwako umejenga image kwamba cabin crew ni bonge ya kazi muda wote upo angani, kumbe sisi wengine tukiwa ndani ya ndege hatuna amani kabisa ndio maana nilikuwa namshangaa JK haogopi ndege? Maana kuikata atrantic ocean ili uingie Marekani ni masaa 14 upo angani chini bahari.

Tuseme ukweli.
Majobless wengi we wish tungekua kwenye nafasi kama yako. Especially ambao tumejaribu vitu mbalimbali na havikuwork out, swala kubwa ni mtaji kukata halafu hakuna back up plan, malengo hayafikiki kama ambavyo ulipanga.
Kusema kwamba unatamani kuyaishi maisha haya umenishangaza kidogo, ila sina neno. Nachukulia katika vitabu umejifunza na umejua hatua unazochukua na utakazochukua.
hongera
Kuna biashara tulizozizoea, kila mtaa zipo huwezi kuacha kazi eti ufungue biashara hizo.
Mfano: Saloon, Bars, Grocery, banda la chipsy, duka, m-pesa, tigo pesa, mgahawa,playstation etc
Unless utakuja na upekee fulani wa kuboresha biashara hizo. Mfano: KFC, PIZZA HUT, Village Supermarket, Kikuu etc
- Mifano ya biashara za ujasiriamali wenye akili ambao unaweza pia kuuweka kwenye kampuni ( LLC ) kwa haraka haraka ni kama,
> Smart- Codes - Edwin Bruno.
> Sirjeff Agrifriend - Sirjeff Dennis
> BrighterMonday
> Retail Chains ( Zinaweza kuwa Dawa, Migahawa, Hospitali, Supermarkets etc
> Zack Finance - Isaac Mnyang'ya
> JamiiForums - Maxence Melo
> HB Worldwide ( Rungu, dawa tatu etc
> Agriculture ( Irrigation )
> ImpEx etc
Hizi biashara nakuambia ukianzisha, hutapata muda wa kutumikia mwajiri kabisa. Utatumia muda mwingi sana na akili kufikiria
Am all in.[emoji23][emoji23] Mkuu tufungue gym yakawaida tu wewe siuna uwezo wa ku-train iyo idea iko serious.