Kuacha kazi kumbe kazi!!

Kuacha kazi kumbe kazi!!

Kuna jamaa yeye aliacha kazi akaenda kugombea Uwakilishi.Kinachompata anajua yeye na Mungu wake.Kuacha kazi halafu huna shughuli ambayo una uhakika itakuweka mjini/kijijini ni kujitafutia kiharusi bure.Komaa anza hiyo plan yako ukiwa kwenye ajira (jipe 2or 3 years) ukipiga kotekote mpango wa kando ukianza ku Emergy then seeeepa taratiiibu kwa Mwajiri wako.
Asante
 
Mkuu nina swali lingine ambalo nahisi kilasiku najiuliza kimoyo ila silipagi usiriasi.

swali
je kuna siri gani/mafnikio au target gani ya kitu kukiweka katika mfumo wa kampuni hapa nina target Sir jeff agrifriend na Jefren ambazo ni kampuni za Sir jeff kama sikosei, unaona kampuni hizi zinadili na Ufugaji na kilimo, na kuna watu kobao wana deal na hizi ishu ila sio katika mfumo wa kampuni je kuna siri gani hapo ya kuweka kama kampuni, kama unalijua hilo maana naamini Sir jeff mtu ambaye habaatishi wala kufanya vitu kwa bahati mbaya.
Ukiendesha biashara yako kwa mfumo wa kampuni ( Limited ) inakuwa na hadhi fulani kisheria, kijamii na inaaminika.

Yaani kama unafuga fuga au kulima, inakuwa rahisi kupata wateja/kusupply kwenye makampuni mengine kama supermarkets, catering c'oys n.k

Kumbuka kampuni siku zote zinafanya kazi na kampuni. siyo mtu binafsi.

Pia ukiwa na kampuni, ukatunza vizuri mahesabu ni rahisi kukopesheka UKA-EXPAND biashara yako.
 
Tuseme ukweli.

Majobless wengi we wish tungekua kwenye nafasi kama yako. Especially ambao tumejaribu vitu mbalimbali na havikuwork out, swala kubwa ni mtaji kukata halafu hakuna back up plan, malengo hayafikiki kama ambavyo ulipanga.

Kusema kwamba unatamani kuyaishi maisha haya umenishangaza kidogo, ila sina neno. Nachukulia katika vitabu umejifunza na umejua hatua unazochukua na utakazochukua.

hongera
Asante mkuu kwa ushauri. Naamini kuna watu wapo single na wanataman ndoa, na wenye ndoa wanataman kuwa single? Nko Sawa?
 
broo nitakufata soon kwa njia hii!

nataka niweke mradi wangu ukifikia kwenye break even point naingia bank nakopa to the maximum hata 25M.

Shida yangu kuna mtu kanitisha eti ukikopa pesa baadae watakutafuta uzilipe( wazo langu nataka nikope then niwe mtoro na mzembe kazini wanaifukuze na kunifuta kazi wao muda huo nishachukua pesa na kuongeza kwenye biashara zangu ili hilo deni bima ihusike kulipa)

naomba anaejua kuhusu hii idea anisaidie kama nitakua niko mahala sahihi.

NB: serikali ya msukuma imenipandisha hasira kusikia eti ukistaafu unapewa 1/3 ya mafao halfu zilizobaki unapewa kama mshahara hadi unakufa halafu ukifa ndo basi tena zilizobaki hupewi. ( kama hii ikithibitika) watumishi wa umma tuchangamke sio kwa dhuruma hii.
Hahaha boss, kwa namna fulan upo Sawa, ila mim iman yangu ni kwamba kila jambo nikufanya kaz kwa bidii na nidhamu yan PESA, kwe biashara hili linahusika sana na ndo najifunza kila cku. asante.
 
Retai Chains ni mfumo wa uuzaji wa bidhaa kwa rejareja. Zinaweza pia kuwa bidhaa zote au ukawa na "niche" fulani tu.
Zinaitwa chains kwa kuwa zinakuwa nyingi sehemu mbali mbali.

Mifano:

1. Hyatt Regency, The Kilimanjaro ni chains of luxurious 5-star hotels duniani.

2. Feza Schools ni chains of schools duniani

3. KFC ni chains of eateries duniani.

4. Nakumatt ni chains of supermarkets, zipo nchi nyingi tu.

5. Agakhan Hospitals ni chain ya hospitals nyingi sehemu mbalimbali duniani
Mkuu Japo umegusia biashara kama za makanpuni vile, uki-compare mim nataka kuwa mjasiria Mali Wa kawaida ila nimekuelewa, mfano retail pharmacy ni Moja ya biashara zangu japo ckutaka kuweka wazi humu, ila kwa stage ya kijijini,

I think umchambuzi Mzuri Wa aina za biashara. Thanks
 
By the way ugali na mchicha ni best food kiafya, unaongezea na dagaa ls mwanza tu hapo mambo ni super.

Anayekula nyama anayanunuwa maradhi kwa bei kubwa ila menu hiyo ya ugali dagaa mixer mchicha unatengeza sfya ya uhakika, tubadili mindset zetu kwa sasa.
Big view haha
 
Sina.

Yaani ulivyosema tufungue mi nilielewa maana yake tuanze from scratch.

Yaap scratch, kuna pesa aisee mimwenyewe mzee wa gym hapa yenyewe navuta saa 11 kamili nikajiuwe chest na mkono wa nyuma.
 
Mkuu Japo umegusia biashara kama za makanpuni vile, uki-compare mim nataka kuwa mjasiria Mali Wa kawaida ila nimekuelewa, mfano retail pharmacy ni Moja ya biashara zangu japo ckutaka kuweka wazi humu, ila kwa stage ya kijijini,

I think umchambuzi Mzuri Wa aina za biashara. Thanks

Nafikili mkuu itakuwa ni mfanyabiashara wakawaida, maana mjasiriamali ana setting ya kukuwa tu until die. au labda ungesema unaanza kawaida tu.
 
Wewe haujawahi kuajiliwa halafu ofisi imejaa majungu kila siku.

Tuulize tuliofanyakazi taasisi mbalimbali tunajuwa kazi ni utumwa ingawa si kazi zote.

Zipo kazi kweli mtu unajisikia raha mustarehe, zamani nilikuwa natamani sana ndege lakini nilipoanza kuzipanda hamu ya ndege iliniisha huwa sina amani mpaka ndege ituwe.

Nikashangaa mdogo wangu mmoja yeye ndio kapata kazi kwenye ndege kila siku yupo angani final ameacha mwenyewe ile kazi na sasa amejiajili.

Nina uhakika mtu kama wewe ukimjuwa huyu dogo utamshangaa na kumuona mjinga sana kwa sababu wewe kichwani kwako umejenga image kwamba cabin crew ni bonge ya kazi muda wote upo angani, kumbe sisi wengine tukiwa ndani ya ndege hatuna amani kabisa ndio maana nilikuwa namshangaa JK haogopi ndege? Maana kuikata atrantic ocean ili uingie Marekani ni masaa 14 upo angani chini bahari.
Kweli mkuu, Mimi huwa nawaambia wanaisubiri ajira kuwa, KUNA MAMBO LAZMA WAAJIRIWE NDO WATAYAJUA, KAMA NDOA ZILIVYO, UKIWA NJE HUJUI, BUY THE WAY, KUNA WATU WANA DREAM NA WENGNE HAWANA, YAN MTU ANAJUA KUAJIRIWA MPAKA PUMZ YA MWISHO, NA ANAPIGIA HESABU KIINUA MGONGO. Ok NNAKAWAIDA YA KUTOKUPONDA SEHEMU NILIYOTOKA AU KUPITIA KWASABAB TU YA INTEREST BINAFSI, ISTOSHE CHANGAMOTO ULZOTAJA MTU ANAWEZA KUZINYWEA MAJI but UKIWA NA CALL ZINGINE , HAVE TO pursuing THEM, NIISHIE HAPO.
 
Natamani nkupe hii, mim miaka 6 imetosha ,hyo 24 ilobaki God bless

Haha ndio kungekuwa na utaratibu wa kupena kama hivi, ningekupata mpaka unapoishi, hadi namba zako ungeshangaa nimezitoa wapi wee ajira tamu wewe licha ya mawazo ya mikampuni yaliyojaa kichwani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom