Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,124
- 201,143
Umejuaje hili mkuu ?Ndoa ni muhimu lakini siyo lazima maana si kila lenye umuhimu lina ulazima
Halafu wabongo tungekuwa tunalazimishana kuingia kwenye fursa kama tunavyolazimishana kuingia kwenye ndoa basi tungekuwa mbali sana
Ila bahati mbaya mbongo hata siku moja hawezi kukulazimisha ufanye jambo ambalo litakunufaisha kama/kuliko yeye
Ukiona mbongo anakulazimisha sana kufanya jambo ujue hilo jambo halina faida sana na anataka tu upate matatizo kama aliyoyapata yeye alipolifanya