Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

Hilo la asali usisahau chana godoro weka katikati ikiwa na asali na sukari baada ya kuweka sema maneno hapo juu wee taja jina nakutaka unipende unijali uwe mtamu kwangu kama asali na sukari asikuzoee yoyote zaidi yangu tupendne kwenye shida na raha ee mwenyezi Mungu nisaidie,,,,,biow mrejesho hii pia siku saba baada ya siku saba usitoe hilo karatasi atakapotaka kufanya maovu atateseka sana na utakuja nishukuru
 
Unapooa hufikirii kukosea, ukiona kitu kizuri kina sura nzuri, umbo zuri hichohicho unanata nacho. Mwanamke yeye huangalia mpungu tu kama upo wa kutosha. Kwa habari ya tabia mtajuana mbele ya safari mkichokana ndio kila mmoja atazijua rangi za mwenzake. Uvumilivu unakuwa sifuri mnaachana kama mlivyokutana huku mmoja akiwa amepata hasara kubwa katika mahusiano hayo
 
Natumaini wote wanzima..
Anayeumwa ishara MUNGU atamponya.

Imeandikwa Mangi shangali
Arusha,tanzania.

Kama kichwa kinavyojieleza::....
Kosea vyote maishani ila usikosee kuoa(kuolewa)..
Kosea nyumba unaweza kubomoa.
Kosea njia utaelekwezwa.

Makovu utakayo yapata kwa kukoseq kuoa au kuolewa hayatakuathiri wewe pekee yako mpaka jamii inayokuzunguka.

Majeraha utakayo yapata kwa kukosea kuoa au kuolewa hayapimiki kamwe.

Hivyo kuwa makini unapotaka kuoa au kuolewa maana madhara yake makubwa mnoo.

Bila shaka wewe mwenyewe ni shuhuda katika familia au jamii unayotokea.
Kuna watu unawajua au ulishawahi kuwaona na kuwasikia yaliyowatokea kwenye ndoa na mahusiano yao.
Kuna waliopata majanga ya:
Kifo
Ukilema
Kuachana
Kupigana
Kudharishana n.k
Kila siku tunasikia kwenye redio ndoa nyingi zinavunjika,wana ndoa wanauwana ,watoto wa mitaani wengi wamejaa mtaani kisa kukosea kuoa au kuolewa.

Maisha ni mafupi sana,ni nyema kuyathamini maisha uliyopewa duniani.
Nakarabisha mchango wenu.
Kigezo ni kipi kwamba hapa napatia kuoa?
 
Hilo la asali usisahau chana godoro weka katikati ikiwa na asali na sukari baada ya kuweka sema maneno hapo juu wee taja jina nakutaka unipende unijali uwe mtamu kwangu kama asali na sukari asikuzoee yoyote zaidi yangu tupendne kwenye shida na raha ee mwenyezi Mungu nisaidie,,,,,biow mrejesho hii pia siku saba baada ya siku saba usitoe hilo karatasi atakapotaka kufanya maovu atateseka sana na utakuja nishukuru
Ushetwani
 
Furaha ya kweli haitokani na vitu vya nje mjue sana MUNGU utapata furaha na amani ya kweli
Mie mkuu amani yangu haipo kuwa na mke Bora Bali kuwa na utajiri.

Nimeoa Ila kuoa ama family sio priority kivile kwangu. Mana naona hata nikizaa naleta watt duniani kwenye dunia iliyojaa mihangaiko ya maisha mpaka kero.

Smt huwa sioni purpose ya kuishi. Sawa hela pata afu ni starehe tu nazo utachoka tu najua.

Utakula ,utatembea na kila binti wa kila rangi,utalala kila hotel nzuri unayojua Ila still you won't get satisfaction in life.

Yaani hata uwe na mke sijui Kama malaika Ila sidhani our happiness is being tied to external stuffs Mana huwa inaisha ndani ya mwaka tu.

Mfano ukinunua ndinga ya ndoto yako baada ya muda utaanza kuiona Kama ni kawaida nothing new.
Ukijenga ukaishi kwako baada ya muda unaona hakuna Cha Mana,

Ukiwa na mipesa hata mabilioni utaizunguka dunia yote utachoka Mana ukienda Kama majiji kadhaa baadaye hasahasa utapiga picha Kama show off Kama wewe ni dizaini iyo.

Ila still external things won't fulfill your purpose hapa duniani.

Hii kitu plz Kama Kuna mtaalamu naomba anisaidie.

Tunafuta pesa tukijua tutakua na furaha Ila bado tu ukizipata iyo furaha hutoiona.

Hasahasa utajenga nyumba na ukiwekamo vitu vya anasa huko ndani Ila later am sure utaiona Kama ni kawaida.

Utatembelea kila gari Ila still moyo utarudi utakuambia kuwa you're normal human being.

Ila still tunatafuta vitu tukidhani may be they'll satisfy our internal happiness and peace.
 
Back
Top Bottom