nrongalema
Member
- Apr 11, 2011
- 48
- 5
Ni kawaida kusikia mh. Rais amefanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri..lakini c kawaida kwa mawaziri makini kutemwa kabisa. Prof. Mwakyusa (daktari wa mwl Nyerere) alitemwa.! jamani kama kuna mtu anadata zake kuwa kosa lake lilikuwa nini mpaka mh. Rais akaamua kummwaga atumwagie..!