Kosa la David Mwakyusa ni nini?

nrongalema

Member
Apr 11, 2011
48
5
Ni kawaida kusikia mh. Rais amefanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri..lakini c kawaida kwa mawaziri makini kutemwa kabisa. Prof. Mwakyusa (daktari wa mwl Nyerere) alitemwa.! jamani kama kuna mtu anadata zake kuwa kosa lake lilikuwa nini mpaka mh. Rais akaamua kummwaga atumwagie..!
 
alifanya nini asitemwe??
mimi binafsi sikuona utendaji wake wenye ufanisi
yeye na kawambwa hawakutakiwa hata kidogo
 
nanong'ona, eti alikataa kusaini mkataba wa RA wa kuingiza dawa za malaria, za ukimwi; source - mimi simo.
 
coz kipindi kilichopita washkaji wngi walimlaumu kwa kukosa uwaziri hvo nw ndo kawaweka
 
Ni kawaida kusikia mh. Rais amefanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri..lakini c kawaida kwa mawaziri makini kutemwa kabisa. Prof. Mwakyusa (daktari wa mwl Nyerere) alitemwa.! jamani kama kuna mtu anadata zake kuwa kosa lake lilikuwa nini mpaka mh. Rais akaamua kummwaga atumwagie..!
Kosa lake ni lile lile lililofanya Prof. Mark Mwandosya kuenguliwa kwenye kuwania urais because ni too genuine. Prof. Mwakiyusa ni very genuine, humble na down to earth vitu ambavyo JK havipendi. Yaye na Mwandosya sio watu wa kujikombakomba, hivyo kuonekana viburi. Magufuli pia ni mzuri yuko very practical, tatizo lake ni kupenda masifa mno hadi kufikia kufanya baadhi ya maamuzi kwa masifa ili kujikombakomba kwa JK, matokeo yake baadhi ya maamuzi yake yataicost nchi hii bilions!.

Ukiwa too genuine CCM wanakuona sio mwenzao, wao wanapenda mambo ya kiunafiki nafiki tuu!. Wale ambao sio wanafiki mwisho wao ndio kama ya Mwakyusa!.
 
Prof Mwakyusa alikuwa anatetea Maslahi ya madaktari alitaka mshahara wa Dr anayeanza apewe 1.5m, na ilishawahi kuleta mtafaruku mkubwa ndani ya baraza la mawaziri lengo ni kuwa tuwe level moja na madr wa EAC coz Rwanda wanalipwa mshahara mkubwa kuliko Tz, lengo ni kupunguza brain drain, lakini aligonga mwamba. Prof Mwakyusa ni mtu makini na kikwete akiona watu makini hapendi coz huwa wanamzidi reasoning. Mara nyingi anataka weak people ili awaburuze, kwa mwenye akili huwezi mtoa prof wa Internal medicine unamweka ambaye hayupo katika prof. Hiyo. Huu ndo ugonjwa wa Jk.
 
Ni ujinga uliopitiliza. Mwakyusa asingeonja Cabinet kama siyo Kikwete. Kama hataki watu bright kwa nini alimteua? Hivi wewe kipimo cha brightness ni uprofesa? Na kwa nini hulalamiki kumtema profesa Kapuya? Hebu jishughulishe katika kufikiri kuliko kubaki na mgando wako huo!
 
Kosa lake ni lile lile lililofanya Prof. Mark Mwandosya kuenguliwa kwenye kuwania urais because ni too genuine. Prof. Mwakiyusa ni very genuine, humble na down to earth vitu ambavyo JK havipendi. Yaye na Mwandosya sio watu wa kujikombakomba, hivyo kuonekana viburi. Magufuli pia ni mzuri yuko very practical, tatizo lake ni kupenda masifa mno hadi kufikia kufanya baadhi ya maamuzi kwa masifa ili kujikombakomba kwa JK, matokeo yake baadhi ya maamuzi yake yataicost nchi hii bilions!.

Ukiwa too genuine CCM wanakuona sio mwenzao, wao wanapenda mambo ya kiunafiki nafiki tuu!. Wale ambao sio wanafiki mwisho wao ndio kama ya Mwakyusa!.

Bonge la contradiction. Yaani mmoja yuko genuine akafukuzwa na mwingine ni genuine akabakishwa kwenye cabinet. Mnachoshindwa kuelewa ni kwamba service in the cabinet ni kwa ridhaa ya appointing authority. Hata kwa kuzingatia regional or geographical balancing, kuteua mawaziri wawili kutoka wilaya moja as if mkoa mzima hauna wenye sifa ilikuwa ni issue ambayo ilihitaji kutazamwa upya.
 
Vyeo haviko kwa ajili ya watu maalumu.....kwanza mkuu wa nchi sasa hivi hatoi cheo kutokana na uwezo wako....bali ukaribu wako kwake...sioni ukaribu wowowte kati ya Kikwete na Mwakyusa
 
Back
Top Bottom