Na hiki ulichofanya ni nini?
Thread ya heri?Mi nakwenda kulala.
Kama hujaonekana jamvini hadi kesho nitakufungulia thread!
Thread ya heri?
mpaka sasa hajaonekana,nimfungulie nisimfungulie?
Mpaka sasa hajaonekana,nimfungulie nisimfungulie?
hii ni trela bana,muvi bado,ndo natafakari nishushe uzi nisishushe?