kongosho......

kongosho......

afu fellow tablet ana msumari wa nchi 20, sikujua lol. Unatoboa hadi kuta za mawe.

Namaanisha nchi(counties) zimetajwa ya kwanza ikiwa china, Tz, afganistani na kazalika.

Halaf ukuje na ufafanuzi wa kutosha kwanini wewe na fello tablet mmepotea at ze sem taim. Why? Kongosho why?
 
Last edited by a moderator:
Nimewamisije wapendwa katika sred, afu nimeotesha kuna mmoja ananilike.
Na jana kaniota namkimbiza na jani la mgomba.

Nitamtaja badae.
Samahani sana Kongosho usinitaje ukantafuta ubaya.....
Nanii litakuhusu ooh
 
Last edited by a moderator:
He he he, Bishanga, nikiwa hapa kutwa kunisimanga
Nikiondoka unaanza kulia lia, kumbe mie sumaku yako?

Afu, imekuja na mkungu wa ndizi bk.
Uuuuuuuuuuuwi at last!!!!!!!
Karibu love,bila wewe vibaton vya ipad yangu vina stuck.
Ulikuwa wapi wewe?
 
Last edited by a moderator:
Afu jiandae, nina vaseline kopo saba.
Utajibeba . . .

Ndo utajua kilichomtoa faru pembe la kati.

Samahani sana Kongosho usinitaje ukantafuta ubaya.....
Nanii litakuhusu ooh
 
Last edited by a moderator:
he he he, kwetu bangi ni zao la msingi, hupewa kigori siku anakwenda kwa mumewe.

Hata huyu anayeniLike ntamvutia day one.

Umeanza tena vurugu zako? Nimwite invisibo akufanzie?
 
Back
Top Bottom