Yawezekana namkosea Mungu katika hili, lakini Sina chaguo

professional ethics

Senior Member
Dec 24, 2023
108
352
Wakuu habari,

Kama kijana pia mwanafunzi Hapa Duce mwaka wa tatu, kuna jambo moja ambalo siku ya leo nakwenda kufanya maamuzi na sijui hatima yake itakuwa vipi.

Kuna binti mmoja hapo IFM, naye ni mwaka wa tatu ametokea kunipenda sana toka yupo first year (tulikutana kwenye issues za kidini), mrembo huyu ameonesha nia ya kuwa na mimi Kwa muda mrefu sana japokuwa mimi Sina kabisa hisia juu yake kwani namu- term kama dada tu.

Lakini wakuu kutokana na ugumu wa maisha nao pitia Sina namna, siku ya Leo nakwenda kuchukua maamuzi ya kumkubalia na kuanzia nae maisha mapya.

Huyu binti anatoka familia ya kitajiri, Mzee wake anamiliki mgodi wa dhahabu huko Geita na mama yake ni kanali wa Jeshi.

Ugumu wa maisha una ni force niwe nae japo nipate chochote Kitu Toka kwake.
Binafsi anataka badae niwe mume wake but Sina kabisa dream hiyo juu yake, na yupo Tayar kutoa chochote kwa ajiri yangu.

Ee Mungu ni samehe.
 
MAISHA yako yana thamani kuzidi migodi na cheo cha kanali.

Kila unajaribu kufanya jambo usitazame njaa ya tumbo maana hiyo hupita Ila tazama thamani halisi ya MAISHA yako.

Umasikini wako Kama ni wa AKILI ,basi huo umasikini hata ungepewa nini bado hautaweza kuuondoa Ila utapata nafuu ya mpito na kurudi ulipokuwa .

Unatafakari kwa kina
Mahusiano kwa mwanamke ni sehemu yake ya MAISHA hivyo ikiwa haumpendi na hauna hisia nae usithubutu kuwa nae , maana utamuumiza Sana.
 
Wakuu habari,
Kama kijana pia mwanafunzi Hapa Duce mwaka wa tatu, Kuna jambo moja ambalo siku ya Leo nakwenda kufanya maamuzi na sijui hatima yake itakuwa vipi.

Kuna binti mmoja hapo ifm , naye ni mwaka wa tatu ametokea kunipenda sana Toka yupo first year ( tulikutana kwenye issues za kidini), mrembo huyu ameonesha Nia ya Kuwa na mm Kwa muda mrefu sana japo Kuwa mm Sina kabisa hisia juu yake kwani namu- term kama dada tu.

Lakin wakuu kutokana na ugumu wa maisha nao pitia Sina namna, siku ya Leo nakwenda kuchukua maamuzi ya kumkubalia na kuanzia nae maisha mapya.

Huyu binti anatoka familia ya kitajiri, Mzee wake ana miliki mgodi wa dhahabu huko geita na mama yake ni kanali wa jeshi.

Ugumu wa maisha una ni force niwe nae japo nipate chochote Kitu Toka kwake.
Binafsi anataka badae niwe mume wake but Sina kabisa dream hiyo juu yake, na yupo Tayar kutoa chochote kwa ajiri yangu.

Ee Mungu ni samehe

Hilo la kwenda kufanywa msukule wa kimapenzi silishangai sana, that's your personal affair...

Ila nimejaribu kuutazama huu mwandiko, halafu umeandika ya kwamba wewe ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu...kazi kweli ipo!
 
FB_IMG_1708661858491.jpg

Tatizo hamuendani
 
Wakuu habari,
Kama kijana pia mwanafunzi Hapa Duce mwaka wa tatu, Kuna jambo moja ambalo siku ya Leo nakwenda kufanya maamuzi na sijui hatima yake itakuwa vipi.

Kuna binti mmoja hapo ifm , naye ni mwaka wa tatu ametokea kunipenda sana Toka yupo first year ( tulikutana kwenye issues za kidini), mrembo huyu ameonesha Nia ya Kuwa na mm Kwa muda mrefu sana japo Kuwa mm Sina kabisa hisia juu yake kwani namu- term kama dada tu.

Lakin wakuu kutokana na ugumu wa maisha nao pitia Sina namna, siku ya Leo nakwenda kuchukua maamuzi ya kumkubalia na kuanzia nae maisha mapya.

Huyu binti anatoka familia ya kitajiri, Mzee wake ana miliki mgodi wa dhahabu huko geita na mama yake ni kanali wa jeshi.

Ugumu wa maisha una ni force niwe nae japo nipate chochote Kitu Toka kwake.
Binafsi anataka badae niwe mume wake but Sina kabisa dream hiyo juu yake, na yupo Tayar kutoa chochote kwa ajiri yangu.

Ee Mungu ni samehe
Unaenda kuchezea akili za mwenzako eeh, kitakukuta kitu
 
Acha utoto
 
Dogo,

Hakuna mtu ambae yuko kwenye mahusiano bila sababu. Kila mtu alieko kwenye mahusiano yupo hapo kwasababu kuna kitu fulani anapata kutoka kwa mwenzake! Iwe ni faraja, pumziko, penzi, pesa, kujenga familia n.k zote hizo ni sababu tu na hakuna wa kukucheka eti we upo nae kwasababu gani. Sisi wenyewe tunaokushauri hapa siri zetu za kwanini tuko na tulio nao tumezificha moyoni.

Ushauri wangu we mchukue huyo demu na ujitahidi sana kumpa kile anachotaka ili na wewe upate kile unachotaka. Hayo ndio maisha yalivyo lazima utie unafki kidogo ili mambo mengine yasogee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom