Aisee wajameni mkimwona Kongosho mwambieni ole wake akichomoa mimba nlomgea.....
Ntambadili jinsia wallah!
Aisee wajameni mkimwona Kongosho mwambieni ole wake akichomoa mimba nlomgea.....
Ntambadili jinsia wallah!
Hahahahahaaaa usijifanye mjuaji watakuanza wewe ooohNamwacha, ila umfunze watamkwapulia sasa hivi.
Ishakula kwako mkuu,nenda mmu,konnie kafungua uzi huko wa kuomba toba,pole ndugu yangu,huyo ndo konnie bana wengine fotokopi.
Hahahahahaaa nimecheka sana gambachovu eti yeye ni SHEHE Hahahahahaaaaa huyo ndio Konny originalMi naogopa!
Hivi wewe klorokwini unataka nikushushe mshipa eeh! Endelea tu kumfuata fuata mke wangu Cantalisia uone nitakachokufanya!Cantalisia nakusubiria hapa "tufe sote" guest house, mbona hautokei au rejao kaweka ulinzi?
Nipo hapa, hebu niambie kidumu changu, nani alikupoteza kiasi hicho!!
Hivi wewe klorokwini unataka nikushushe mshipa eeh! Endelea tu kumfuata fuata mke wangu Cantalisia uone nitakachokufanya!
Unamtakia nini baba wa watu?
Nipo hapa, hebu niambie kidumu changu, nani alikupoteza kiasi hicho!!
Bora uwe naye karibu! Maana anaweza kuharibikiwa saa yoyote.Maskini kloro,cha kufia nini,jimuvuzishe uje simba kapakatwa bar tupate ulabu tuangalie mechi ya chelsi.
Na mimi nilikuwepo Tanga, kuna kamtu kilikuwa kanaonekana kajanja janja hivi mbele yangu! Nahisi ulikuwa ni wewe lol!mhusika mkuu
tulienda Mei Mosi Tanga.
Hahahahahaaa Rejao mi nimekulindia shemeji sana hadi nimechoka.....Huyu klorokwini na Bishanga ndio wabaya wako ila hawajafanikiwa kufanya uharibifu wowote kwa shem CantalisiaHivi wewe klorokwini unataka nikushushe mshipa eeh! Endelea tu kumfuata fuata mke wangu Cantalisia uone nitakachokufanya!
Mkuu kuna mod itakuwa anachakachua post zetu ili atugombanishe, mimi sipo gesti nipo polisi apa namchukulia zamana ze finest kachkua baskeli ya jamaa hakurejesha.Hivi wewe klorokwini unataka nikushushe mshipa eeh! Endelea tu kumfuata fuata mke wangu Cantalisia uone nitakachokufanya!
Naangalia ya spurs bana , chelsi na geordies ni wazushi tuMaskini kloro,cha kufia nini,jimuvuzishe uje simba kapakatwa bar tupate ulabu tuangalie mechi ya chelsi.