Kongosho, naomba ....

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,948
...uni PM na unipe jina lako halisi na namba yako ya simu tafadhali!

Kabla wambeya hamjaanza umbeya wenu kunitaka nitoe jina langu halisi: mie nawapa majina yangu kamili, naitwa Ini Mtoboasiri!
 
Tokea nijiunge na jf sijawahi kukanyaga jukwaa hili kwi! Kwi! Kwi! Hapa ni cassino nini? Maneno ya malovee tuu teh! Teh! Teh! Kwaherini nirudi kwa wakina Mwigulu
 
Tokea nijiunge na jf sijawahi kukanyaga jukwaa hili kwi! Kwi! Kwi! Hapa ni cassino nini? Maneno ya malovee tuu teh! Teh! Teh! Kwaherini nirudi kwa wakina Mwigulu

uku kuna sumaku ukishagusa lazima urudi tena na tena na tena na tena.
 
wee mtoboasiri, unanitakia nini mie mke wa mtu?

Majina yangu matatu ni Kongosho Lutanigwa Lutasagwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom