Kongosho, naomba ....

konnie yu min ni kidume cha mbegu?
mtoboasiri umeyasikia hayo,halafu nasikia konnie anatembea na kikopo cha keiwai kwenye gari,we subiri tu habari yako.

Ah wapi! Dawa ya keiwai naijua mie. Afterall Kongosho na Ini vimeshawahi kuzuliana lini?
 
Nyonga na ini wapi na wapi! Ini wake Kongosho bhana!

Sasa hivi kahamia nyongani

Mwambie kabisa nikimbadili jinsia asinilaumu.....

Mbadilishe kabisa huyu, kazidi kunichezea, ila sijui ananichezea vizurii

Unibadili jinsia au jina? Haijaingia akilini mwako kuwa ukinibadili jinsia unaweza kuwa unaniweka karibu zaidi na Kongosho?

Wakikubadili jinsia tu, nakuwowa

Hahahahah! Khaa! No comment! Kongosho kam zis wei bebiii!!
He he he he he, should I come? na cacico na BADILI TABIA je?

Nirushie vocha nikwambie alipo muda huu na mtu alie nae!

Kila mtu anajua kazi yangu ni kuwa meza ya bosi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom