Kongosho, naomba ....

Kongosho, naomba ....

Mshipa? Mshipa upi wa ateri au vein
Au upiii? Mmmh hapahaya kongosho ndo uje useme kama wapenda mshipa

Kuna mshipa na mshipa, sasa alionitishia nao Bishanga (eti mkubwa mzima natishiwa nyau!) ndio huo ninaouongelea!
 
Last edited by a moderator:
Mtoboasiri yaani hata mwezi haujauona unataka kutongoza hadharani tehe tehe.

Nakujuza hizo ni mali za watu humu JF kama una ubavu wa kupambana na akina Asprin, Bishanga, erick52 shauri yako, ukitolewa manundu.

Hadharani ndio yenyewe. Hata Bishanga akinikuta nae atachukulia utani tu maana kwa kawaida mtu hatongozi hadharani ati!
 
ivi kweli katika vitu vyote vitamu alivyonavyo Kongosho umeona uombe namba?...na majina?...pole!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom