hahahahahaha dah!MxKuna mmoja kabebwa na mafuriko. Lakini inasemekana bado anapapatua oksijen muhimbili
Jf is never boring - The Boss
Asante kabakabana, love you too.
Kuhusu jinsia usijali, hiyo ni detail ndogo sana
cha muhimu, i have a big heart than Tabora.
Kongosho wakati wako huu wa kutesa. Lol.
Mwandiko wa Kongosho kabisa huu,anajipa promo 2,Mx
umeona eeh
lazima ulikuwa asilimia 10 ya mwandiko primary
Kongosho wakati wako huu wa kutesa. Lol.[/Q
UOTE]
Tena alipishie kudengua kama wakati ule TB alimsumbua alipomdondokea na high heels,lolKongosho wakati wako huu wa kutesa. Lol.[/Q
UOTE]
TB atatamani kujirudisha kwa big mama.
kep it up,kujipa promo utafika,Mx
nina wangu namlia timing, siku nikifunguka inapigwa ndoa ya mkeka online. Make sure upo jf 24/7.
Tena alipishie kudengua kama wakati ule TB alimsumbua alipomdondokea na high heels,lolKongosho wakati wako huu wa kutesa. Lol.[/Q
UOTE]
kumbee?sikulijua hilo.Miss u much my wiii
Kongosho wakati wako huu wa kutesa. Lol.
i know thats why i love u my wii but i wanna know u more than that.