ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,772
- 6,555
nina wangu namlia timing, siku nikifunguka inapigwa ndoa ya mkeka online. Make sure upo jf 24/7.
never miss hiyo siku maana naisubiri kwa hamu zaidi ya mlengwa..
nina wangu namlia timing, siku nikifunguka inapigwa ndoa ya mkeka online. Make sure upo jf 24/7.
Tena alipishie kudengua kama wakati ule TB alimsumbua alipomdondokea na high heels,lol
TB atatamani kujirudisha kwa big mama.
muulizeni King'asti..............lol
kwa hiyo huyu kiumbe wa mungu anakufanya uzidi kumfikiria sana enhee..
muulizeni King'asti..............lol
Aren't you going to congratulate me?
Just a hug?
Owwkay!
Kudondokewa raha ila inaleta aibu.
Si unajua kumeki hedilains napo kama hujazoea unaona noma.
Nasomea uvunguni, ila tabasamu hadi maskioni.
Wii, mie mzima.
Bado natafakuri.
kwa hiyo huyu kiumbe wa mungu anakufanya uzidi kumfikiria sana enhee..
Worry not
you will know me as much as you want.
just a matter of time and patience.
jamani si ujibu hata wewe?
Ha ha ha ha, labda alikutana na BIG baba
akalia 'Khah!'
Ha ha ha
jamani, mie nimeshakuwa wa kuitwa kiumbe mara hii
unanifanya najisikia kama vile niko bado tumboni, sijazaliwa.
wewe nae kusoma huwezi hata picha huoni?
mtu ana aka y big mama.....still unauliza jinsia??????
i didnt know my hug and congratulations means much to you...
anyway congratulation Kongosho.....
you are now a household name with thousands of fans ....
that says what a good person you are....
unatafakuri nini?
H aha ha, usijali
kutafakuri ni kawaida yangu
hasa kabla sijafanya maamuzi
am a Man of my word
sivunji ahadi zangu.
ofu kozi, it matters
ndo maana nikasema.
Yah, might be a good person but....