Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
- #21
Nop, leo na kesho hakuna kulala. nawakomoa watu wa net
unawakomoa,unajikomoa?
Nop, leo na kesho hakuna kulala. nawakomoa watu wa net
Deskmate! huyu kabakabana kila akishakuuweka mtungi huwa anafunguka, nazani huyu ni wa tatu anamfungukia.Hongera kwa kufunguka mwaya... atakuja mewnyewe kujibu thread yake. Ila usitegemee kupewa jibu kuhusu jinsia hapa jamvini.
Deskmate! huyu kabakabana kila akishakuuweka mtungi huwa anafunguka, nazani huyu ni wa tatu anamfungukia.
I missed you too dear. Kumbe kupotea kwako kulikua na sababishwa na haya? pole sana. Ila nina uhakika Kongosho atakua sensitive. Akiwa mwanamke au mwanaume atajitahidi kua karibu na wewe tu. She is so kind...mwali i missed u,mbona mimi nimeweka?
I missed you too dear. Kumbe kupotea kwako kulikua na sababishwa na haya? pole sana. Ila nina uhakika Kongosho atakua sensitive. Akiwa mwanamke au mwanaume atajitahidi kua karibu na wewe tu. She is so kind...
Inatokea. mbona hata wanandoa wanapendana leo kesho wanachana na kuanza uhusiano mpya? ndio iwe binti mzuri na mdogo mdogo kama Kabakabana? muache avunje mifupa bwana, so long as hisia zake ni za ukweli mi sioni shida!Deskmate! huyu kabakabana kila akishakuuweka mtungi huwa anafunguka, nazani huyu ni wa tatu anamfungukia.
Kuna mmoja kabebwa na mafuriko. Lakini inasemekana bado anapapatua oksijen muhimbiliwa kwanza na wa pili ni nani?
Inatokea. mbona hata wanado awanapendana leo kesho wanachana na kuanza uhusiano mpya? ndio iwe binti mzuri na mdogo mdogo kama Kabakabana? muache avunje mifupa bwana, so long as hisia zake ni za ukweli mi sioni shida!
Kuna mmoja kabebwa na mafuriko. Lakini inasemekana bado anapapatua oksijen muhimbili
Inatokea. mbona hata wanado awanapendana leo kesho wanachana na kuanza uhusiano mpya? ndio iwe binti mzuri na mdogo mdogo kama Kabakabana? muache avunje mifupa bwana, so long as hisia zake ni za ukweli mi sioni shida!
enhe na mwingine??
Mi nadhani ni She maana niliona katika pita pita zangu kua she is in couple with The Boss...is it a she???
Hakuna zaidi yako
Mi nadhani ni She maana niliona katika pita ita zangu kua she is in couple with The Boss...
Sijawahi kumuona deskmate wangu akigive up so fast... but I like it leo. Mwache Kabakabana ajaribu bahati yake.She has a perfecto lawyer. Lucky kabakabana. I rest my case
But again, mi siwezi kujua kuliko yeye mwenyewe, ngoja aje. Usikate tamaani bora nijue ju mapema rather than having my hopes up.
Sijawahi kumuona deskmate wangu akigive up so fast... but I like it leo. Mwache Kabakabana ajaribu bahati yake.
But again, mi siwezi kujua kuliko yeye mwenyewe, ngoja aje. Usikate tamaa
hebu isome tena post yangu, ukinielewa basi I have a special extraordinary present for u and only u.kwa hiyo mimi najitaka mwenyewe?
Sijawahi kumuona deskmate wangu akigive up so fast... but I like it leo. Mwache Kabakabana ajaribu bahati yake.